Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Katika Ubora wako.

Ahahahhahahha nilikumiss
 
Hongo itakuwa ni kwa mwanamke usiyemuitaji, ni part time tu. Kwa mwenye malengo naye iyo sijui utaiita nini
Yaani hongo unaijua maana yake..? Maana mwanaume akikupa kitu anataka kitu hasa mbususu kwanza. Ndio maana kwetu wanaume kumhonga demu wa kupita haraka usuuze mchi ni haraka kuliko kumpa hela wa malengo. Kama unapewa hela kila mara jua unafanywa uwanja wa mazoezi. Mwanamke wa malengo hapewi hela kama unavyojua wewe tena kwa lazima.
 
Hapo unapiga na kusepa mazingira si rafiki kabisa. Sinaga rekodi ya kununua penzi kwa mtu niliyemtamkia nampenda akaridhia tukaanzisha uhusiano. Lakini kama nikununua aaah nanunua bila shida.
Ata kwake hununui, Bali unatambua nafasi yako tu
 
So a man anatakiwa awe vizuri kipesa ili a-date na mwanamke asie na pesa, wanawake wengi mnajionaga special sana, cjui ni nini kinawafanya mjione hivyo, entitlement mlionayo c ya nchi hii..

Unajifaragua hapa jukwaani kuwa unataka kuhudumiwa wakati ukipata shababi handsome boy anakukula bure, na hela hakupi Johhana
Hayo ni makubaliano yetu
 
Uzuri wanawake mpo wengi, nyie mnaolalamika tuwakumbushe tu sikuhizi wanawake wapo wenye interest tofauti tofauti!

Kuna wadangaji kama mtoa mada ambao wao income streams zao zina depend kwenye kuvuliwa chupi tu. Yani ili aende saluni ni lazma awe kavuliwa chupi, ili abadilishe nguo ni lazma amvulie mtu chupi, ili aendeshe gari ni lazma amvulie mtu chupi, ili alipe kodi ya pango lazma aliwe sana yani! Hawa ndio team mtoa mada na wapambe wake wanalia lia kuikosa hela ya mwanaume.

Kuna ambao wameshajikomboa kiuchumi hawa ndio wanataka mapenzi tu ya dhati. Unapewa mbususu vizuri tu na gharama ni ndogo ndogo za outing tu hamna kubebeshana mizigo isiobebeka. I respect and love these women more sababu wako affectionate! Pesa yako utampa kama shukurani tu siku ukijiskia ila hawezi kuku bug kwanini humpi!

Kwahio kama nyie mnafikri tutakosa K za kumbato mmechelewa sana yani. We sailors sail with the sea waves!
Njoo nikuhudumie, Ili uone kuwa sitegemei pesa ya mtu.
 
Yesu alisema Unachopenda kutendewa, na wewe watendee wengine.. sasa kama we unapenda kupewa laki 3 na mwanaume, kwanini wewe usipende kumpa mwanaume wako laki 3?

Ikiwa wewe hupendi kutoa laki 3 kwa mwanaume unae-date nae, kwanini mwanaume unae-date naye akupe laki 3 yake?

Sadly nyie ndo mtakaoja kuwa wake zetu, wengi wenu mna roho mbaya, Mko selfish, toxic & evil Johhana
we si ndo mwanaume bhnaaaa
 
Rafiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiii..kimeumanaaa tayariiiii
Nilikwambia uwe makini lakini
tutaongea tutaongea.... Just enjoy tuuu, tunapoteza poteza muda kdg. Najaribu kuchota akili za jinsia ya me nione....
 
Mnawalea wenyewe na hiyo 50/50 na usawa wa kijinsia mnayo ifundisha mashuleni,inawalemaza watoto wa kiume wa siku hizi.

Kadili mnavyo endelea kuipush 50/50 na ndivyo wanaume wanapungua na wavulana wana ongezeka.
Dah, kweli kbs
 
Nyie SI mnalilia usawa??????

Huu upuuzi wenu ndo umesababisha wanaume tubweteke, wengine wakose nguvu za kiume, wengine wasione shida kukaa TU Kwa baba zao maana wanajua wanatahangaikia vitu ambavyo mwisho was siku mnaleta ujinga.

Yaani mtu apambaaaane ajenge, awe na biashara, awe na Mali Fulani halafu aje aoe nyie ndezi kwenye mahusiano mumletee mambyo ya usawa ndoa ikifa mkombe nusu ya Mali yake??

Pumbavu.
mawazo yako tu ayo
 
Back to you mtoa mada, hivi ulitegemea huyu mtoto wa wenyewe akupe pesa na kazi hana? Aibe au? Unadate na mtu anakula kwa shikamoo halafu utegemee pesa kweli

Ila nyie wenye kazi toeni tu jamani na mtabarikiwa
ndo mn wanaambiwa watafute pesa kwanza
 
Yaani hongo unaijua maana yake..? Maana mwanaume akikupa kitu anataka kitu hasa mbususu kwanza. Ndio maana kwetu wanaume kumhonga demu wa kupita haraka usuuze mchi ni haraka kuliko kumpa hela wa malengo. Kama unapewa hela kila mara jua unafanywa uwanja wa mazoezi. Mwanamke wa malengo hapewi hela kama unavyojua wewe tena kwa lazima.
Unajidanganya
 
Back
Top Bottom