Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,751
Hajategemea kilichompataMleta mada katelekeza "UZI" probably "Tumebasti her medulla" kwa comments![]()
Hajategemea kilichompataMleta mada katelekeza "UZI" probably "Tumebasti her medulla" kwa comments![]()
Muazime helementi maana atakula jabali za kichwa kama zote😂😂😅Ngoja waje dada, umejipanga lakini? Wana mineno michafu hao wakiguswa kunakogusika. Utaitwa majina yote.
Sasa ulimkubalia wa kazi gani kama unajua hana pesa na wewe ni matonya😂Ahahaha nawakumbusha tuuu majukumu yao jmn. Watafute pesa kwanza, wakiwin maisha ndio waje watutafute.
Matunzo si ujitunze mwenyewe sasa kwani lazima utunzwe na boyfriend? Hao wanaojitunza wanawezaje?wapi niliposemea kwamba nauza ss jmn. Huo ndo ukweli lkn, mwanamke matunzo. Sio ugali wa shikamoo afu untk mwanamke
Kwahio ukiwa huja settle kimaisha hutakiwi kugonga mbususu? Akili za hovyo kabisa hiziWw km unajua wajibu wako bs tulia. Ni jambo jema Ilo. Kuwa na sura au kutokuwa na sura haviingiliani ivyo. Unaweza ukawa na shepu mbovu na mwanaume akafa akaoza na ukahudumiwa km kawaida. Ni swala la upendo tu. Apa tunaangalia wasiosettle kimaisha alafu antk kipoozeo
Demu anamilikiwa kwa kupewa hela?bila samahani apa ni sehemu ya kujipumzisha tuu. Ss mkuu Mimi cjaongelea sura, je kwa yule mwanaume Hana Kazi, yupo kijiweni na anamtk demu mkali kbs na uwezo wa kummiliki Hana. Apo tunawekaje ss lbd?. Na yeye uwezo hanaaa
Yatakuwaje furaha kama hutekelezi wajibu wako?Kwa hiyo unataka kusema kua wanawake hua hawahitaji dusherere?
Msifanye mapenzi kama ajira , fanyeni mapenzi iwe sehem tu ya kuleta furaha na starehe ya kuongeza siku za kuishi , lakin
Mapenzi yakiwa ajira , mwisho wake ndio huu wa kuja kulalamika hujuapewa hela ,
Kwanini usitolee mfano buku kenge wewe 😂 kimtokacho mtu ndicho kimjazacho nafsi! Pole sana kwa kuikosa 300K ila nakusihi pambana kuitafuta usitegemee mwanaume akupe hela wakati yeye mwenyewe hana!Iyo laki 3 nimetolea mfano tu jamaniii. Mbn mnaisakama sn iyo laki 3.
Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizini mapenzi aisee yaani mnapokosea mnavyo ilinganisha na pesa hiyo thamani yake hiyo inatakiwa ifidiwe na upendo kutoka kwa mwanaume


Hahahahahah wanawake wengi mahusiano wameyageuza source ya kipato halafu wanatumia lugha kali za kufedheesha ili tu mtu ujiskie vibaya kuwa nao bila kuwapa hela zako! Its just a mind game and the weak fall prey!Tatizo wanawake wengi mmegeuza mapenzi kama ajira aisee , unaanzaje kwanza kumpiga mtu kizinga cha laki tatu c mshahara wa MTU huo ,
Tafuta kazi ya kufanya ili uache kulalamikia wanaume kwa kuto kukupa pesa ,
Pia mtu ambaye inatakiwa kukugharamikia kwa kila kitu ni mmeo na c mwanaume ambaye umekutana nae tu barabarani tu , unaanza kumtwisha majukum wakati hata kwenu hajulikani , huu ni utapeli kabisa
Nikuulize wewe lini ulimpa bwana wako hela?Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizi![]()
Mama zenu si wapo? Muwatafute hao basi kazi iwe rahisi.Acheni upuuzi nyie, ngenya sio equivalent na pesa! Mkiitwa malaya mnakuja juu oh nyie si ni kama mama zenu blaah blaah!!!
Mama zetu wangekuwa na fikra za kichoko namna hii tusingekuwepo leo! Wengi wameuza mama ntilie na kupika pombe pindi washua walivyo lost kimaisha na bado K walitoa tukazaliwa mabaharia! Sasa nyie leo kitu kidogo tu mnataka kuzifanya Ngenya kama kitega uchumi, ni umalaya huo in another form. K umepewa ni ya uzazi sio biashara.
Mijitu mingine inataja laki tatu kama ni pesa kidogo msifawanye wanaume kama atm tafuteni kwa jashoIyo laki 3 nimetolea mfano tu jamaniii. Mbn mnaisakama sn iyo laki 3.
Ili?Nikuulize wewe lini ulimpa bwana wako hela?
tafuteni kwa jasho
Kabisa, waache tu wang'ang'anie mapenzi ilhali hujui kesho utakula. Wkt nguvu izo angezitumia kutafuta pesa kwa juhudi, akizipt mbn mwanamke atamuona mtamu, sbb atakuwa anajua wajibu wake km mwanaume
Nguvu unazitoa wapi yaani, acheni uffeler basi!Kwahio ukiwa huja settle kimaisha hutakiwi kugonga mbususu? Akili za hovyo kabisa hizi
Uzuri wanawake mpo wengi, nyie mnaolalamika tuwakumbushe tu sikuhizi wanawake wapo wenye interest tofauti tofauti!Mama zenu si wapo? Muwatafute hao basi kazi iwe rahisi.
Heheheh nguvu zipo to stay! Mbususu italiwa na pesa itatafutwa kila kimoja kina wakati wakeNguvu unazitoa wapi yaani, acheni uffeler basi!