Asile ili akufe!! Si unaona mlivyo na roho mbaya!Heheheh akitaka kurudishiwa asiile nyama hio
Mkipendwa mpendeke, konokono nyie!Hahahahahahaha
Anaemtafuta mwenzie ndio anapaswa atafute cha kwenda nacho.
Yani anasahau kama ulimlisha miaka 10 bila kuomba risiti 😂 yeye anakuona ng’ombe tuKama mm nilivyokuwa muhanga, baada ya kupigwa chini na magu, hakuna rangi naacha kuona kwa hawa viumbe
Yaani hela tuwape wao tu siku cc tukifulia tunaonekana takataka
Sasa unamdaije mwanaume hela ya mboga kwani wewe kununua nyama huweziAsile ili akufe!! Si unaona mlivyo na roho mbaya!
Mwanamke akikupenda wala hakusumbui na mambo ya hela😂 ila ukijipendekeza tu baba jiandae 😂Mimi nina uzoefu kiasi wa kutongozwa kimapenzi na Wadada
Mara nyingi nyie mkianza kututongoza, kutushobokea na kututafuta, mnachokujaga nacho ni papuchi tu na vijizawadi vya biskuti, apple, na attention.. basi na sisi tukianza kuwatafuta, tutakachokuja nacho ni dushe na vijizawadi vya biskuti, apple na attention.
Imeisha iyo Espy
🤣🤣🤣 mbona we huna iyo laki tatu unawapenzi kibao insteady uombe elf 50 kila mmoja hadi ikamilike laki 3 we unaomba mmoja na ukipewa ipo siku utakuja kuchomwa kisu ukizingua[emoji1787][emoji1787] imekugusa nini, mbn povu ivyo
Na uzuri mkitupenda hamjagi na file la mizinga! Utaratibu huu upo kwa wale jamaa ambao wameshindwa kubalansi shobo tu 😂!Mkipendwa mpendeke, konokono nyie!
Mimi nina uzoefu kiasi wa kutongozwa kimapenzi.
Mara nyingi nyie mkianza kututongoza, kutushobokea na kututafuta, mnachokujaga nacho ni papuchi tu na vijizawadi vya biskuti, apple, na attention.. basi na sisi tukianza kuwatafuta, tutakachokuja nacho ni dushe na vijizawadi vidogo na attention.
Imeisha iyo Espy
Atakua hana pozi huyu,Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Fanyeni juu chini zisiishe jamani, msitutie majaribuni. Hatujaumbiwa mambo hayo.Yani anasahau kama ulimlisha miaka 10 bila kuomba risiti [emoji23] yeye anakuona ng’ombe tu
Hatuwezi, ndio maana tunadai irejeshwe.Sasa unamdaije mwanaume hela ya mboga kwani wewe kununua nyama huwezi
Aaah we!! Mkiombwa na mnaowapenda walaa hamtoi povu. Hapa unajifanya nunda la kipare kumbe umetoka kumsomesha muamala mtoto wa wenyewe huko.Na uzuri mkitupenda hamjagi na file la mizinga! Utaratibu huu upo kwa wale jamaa ambao wameshindwa kubalansi shobo tu [emoji23]
😅😂😅😂😂😅😅😅 ati niniiAaah we!! Mkiombwa na mnaowapenda walaa hamtoi povu. Hapa unajifanya nunda la kipare kumbe umetoka kumsomesha muamala mtoto wa wenyewe huko.