Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Haki sawa , mwanamke usijisahaurishe, toa pesa , mwanaume kula kulala kama ilivyo mwanamke kula kulala . Wewe beba majukumu, hicho ndo mnataka. Mtoto akililia wembe MPE, ndiyo huo sasa.
 
Hapo unaongelea mume na mke au wapenzi yaani mpenzi nikutenze nikupe laki tatu naumwa kichaa wakati wazazi wako hawanijui na we mwenyewe una wanaume kibao umegeuza mapenzi ni ajira hizo hela anapewa wife my salary ni yangu na mke wangu na watoto wangu.
 
Back
Top Bottom