Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Na wote hao wanataka kujipenyeza kwa kutumia umaarufu wako hapa. Ambacho hawajui ni kwamba there will never be another Jojo here. Huoni hata mada za kichovu wanazoanzisha (na kuishia kuzikimbia?). The Jojo I know will never start a lame topic like this and and end up running away!
Pambania kombe mzee baba maana kwa complimentary hizi si kitoto… Joanah kaka yetu asikike please!
 
Pambania kombe mzee baba maana kwa complimentary hizi si kitoto… Joanah kaka yetu asikike please!
Tru bros don't do this girly nincompoop to another bro's bravado. We simply keep quiet and observe the hustle![emoji16]

Bro Code #92 [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Tru bros don't do this girly nincompoop to another bro's bravado. We simply keep quiet and observe [emoji16]

Bro Code #92 [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Worry-out bruv, since you have just bolded it, I assure you to be an observant from now onwards, not the other way around…
 
Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!

Sema dah, mzinga wa Laki 3?!

Hivi si mshahara wa mwezi mzima wa Police Constable huo?!

Kama graduate ndo anaamua kuwalipa Bodi ya Mikopo, si marejesho ya takribani miezi 3 hayo?

Basi iwe angalau 50K, lakini 300K?!

Hapana bhana, NOT FAIR kabisa...
300k kwa K ipi aliyo nayo ... anasema anajua majukumu yake .....vp anafua nguo, kupika ,kupiga deki na kazi zingine zifafanazo za hzo ..au anataka tuu 300k ...kwavile ana K
 
"Papuchi zinasmell samaki nani atoe hela"
" Tutaendelea kuwagonga na kusepa"

Walisikika wakulungwa wakiongea baada ya kusoma hii thread
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nakubali .
 
Back
Top Bottom