Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Yani ww unafananisha ile unakutana na mtu untk mbususu, unampa pesa, mnapeana alafu imeisha iyo. Mimi siko uko. Niliko Mimi ni Kule ambapo Kuna vitu vdg vdg tu ni lzm utamuhudumia mpnz wako. Ukatae ukubali, uduma kwa mwanamke wako ww unatoa
mm labda msosi na gharama za guest pamoja na nauli ya kurudia kwake baada ya zoezi.
 
Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Anapenda masharobaro a.k.a walamba lips unategemea nin lazima aumizwe
 
Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumia
Nakula pisi kali na zinazojielewa! Huwa hatubugudhiani kwa maswala madogo madogo ikiwemo kuombana pesa bali tunazitumia pamoja!
 
sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea kujali na kujua majukumu yako km mwanaume. Ata ukimpa vch ya jero ni huduma tosha. Sio mpk laki 3 niliyotolea mfano
Lakini kutoa huwa kunapendeza mtu akikupa chochote kwa hiari yake na sio kwasababu anahimizwa! Mnaweza kusema wanaume wachache waliofanikiwa wakiwa na wake/wapenzi wao nikwasababu ya faraja njema kutoka kwa wake/wapenzi wao! Siku zote sisi wanaume kukishakuwa na mashinikizo ya kihuduma hapo ndio mwanzo wa hizo huduma kutoweka! Mfanye mwanaume ajione mfalme kwako, mshauri vyema, mpiganie na umlinde hapo utakuwa kama unakiwanda chako cha kuprinti hela zenu maana akili yake itawazia mema na moyo hautaona ugumu wala aibu kukutafutia! Sasa wewe jifanye kuwa umekuja duniani ili utunzwe utaishia kula vya haramu!
 
Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
Mtu siyo mume wako haja jitambulisha kwenu na wewe wazaz wake hawa kujui halafu anataka kuhudumiwa na wanawake wengi hawa jielewi hawa jui kama mwanaume ana weza kukuhudumia Kwakuwa haja kupa mimba sasa ubebe mimba umzalie mtoto ndiyo utajua alikuwa ana kupenda kwel au alikuwa ana penda utelez wako.
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Kila mtu atafute pesa zake, nikuzalishe nikulipe mwisho wa siku nimpate mwanangu nimsomeshe asome habari yangu na wewe kuishia hapo
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Laki tatu?,na bado hujawa mke wangu!!
Aisee lazima usinielewe. SIKUPI.

Yaani unataka uwe na mwanaume anakupa hela ndo umuelewe!?
Labda MAFALA wa mapenzo ndo watakupa hela.

Yaani mala kibao nchi hii bado nitunze mtoto wa mtu!?
NEVER.

Laki 3 nanunua shamba kabisa na si ijabu nipata na hela ya kuchoma tofali.
Halafu nampa mtoto wa mtu kisa dudu tu!?.

Tandika kwa Wahaya nina hisa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom