Wanawake wa Karne hii ndo Hali zao zilivyo ivyoUnaongelea wanawake wa karne IPI kwa mfano , wanaume waliokua wanafukuzia mbususu mwezi hadi mwaka ulikua zamani sio sasa hivi , nyie wa karne hii , dakika sifuri tu , unachukua unaweka waaa ,
Tukifanya ivyo mnatuona wajeuri, kwsbb tunatafuta pesa zetu wenyeweKitu kimoja unashindwa kuelewa ni kwamba zama zimebadilika, hizi ni zama ambazo hakuna majukumu ya mwanaume wala mwanamke, hakuna kazi za mwanaume au mwanamke. Sasa hivi kuna mvutano linganifu kati ya wanawake na wanaume katika kila nyanja iwe kijamii, kisiasa au uchumi. Huko zamani usawa wa kijinsia haukuwepo mwanamke alichukuliwa kama mtu wa kukaa ndani bila kujihusisha na shughuli zozote za uzalishaji na hivyo kuchukuliwa kama watu wa kuhudumiwa na chombo cha starehe. Lakini sasa wana nafasi katika uzalishaji na wanapewa vipaumbele kwelikweli. Jambo la kukushauri kama bado unapenda ule mfumo wa zamani ni bora ukaenda kule kwa talban kwamaana wao wanaamini bado katika hili mwanamke kukaa ndani na kutoa uroda tu. Hakuna pesa tamu kama ya kuitafuta mwenyewe izi za kupewa unakuwa mtumwa amka sasa kumekucha nenda kawe mwanamke shujaa aka super woman kama kina shilole mwanaume akizingua anawekwa pembeni.
Usikariri jombaajipange bidada kama kajamaa kula kulala ulitaka kakupe laki tatu katatoa wapi? kama uko vizuri hukutakiwa kuleta povu humu ulitakiwa kusepa kimya kimya tafuta mwenye hela , na ukitaka mwenye hela ujue we utakua side chick tu uvumilie tu maana atakua na mishe zake na familia pia we utakua spare tairi tu
Tofautisha anayejiuza. Na huduma yako kwa mwanamke wako umpendae. Ukilijuo Ilo bs hutoleta makasirikoUmeandika.kwa hasira kinoma. Na wewe kama.mwanamke tambua mahusiano.sio chanzo cha wewe kupata mapato. Inshot unauza..? Dada kama mwanaume wako hana hela na wewe tafuta kazi mapenzi sio mradi kuwa atakupa hela kila wakati. Na mnasemaga 50/50 nyie wanawake ndio hamueleweki. Mwanaume kama hana hela hivyo hastahili kupenda na kupendwa..?
Huduma ni kwa mke sio kwa demu dada. Tofautisha mke na demu. Mke anahudumiwa labda mambo yakiwa mabaya tunaambiana lakn demu hahudumiwi zaidi ya ofa za kulainisha kuombea mbususu. Hivyo litambue hilo ndio maana hairuhusiwi kumsomesha mchumba na hata sheria za nchi zina ruhusu kumpokonya mchumba mali yako uchumba ukifa kwa maana sio jukumu la mwanaume kumlea demu.Tofautisha anayejiuza. Na huduma yako kwa mwanamke wako umpendae. Ukilijuo Ilo bs hutoleta makasiriko
Izo izo ofa unazotoa, ndizo huduma.Huduma ni kwa mke sio kwa demu dada. Tofautisha mke na demu. Mke anahudumiwa labda mambo yakiwa mabaya tunaambiana lakn demu hahudumiwi zaidi ya ofa za kulainisha kuombea mbususu. Hivyo litambue hilo ndio maana hairuhusiwi kumsomesha mchumba na hata sheria za nchi zina ruhusu kumpokonya mchumba mali yako uchumba ukifa kwa maana sio jukumu la mwanaume kumlea demu.
Mnatuharibia dunia yetu mnataka iwe si salama kwa kuishi bila kipato. Sipati picha wadogo zako wakija kuomba ushauri kutoka kwako, mjadala huwa hivi
Dogo: dada kuna kaka ananitaka kila siku ananisumbua
Dada: Hmmm unamuonaje huyo kaka?
Dogo: namuona kawaida tu handsome hivi
Dada: acha ujinga wewe simaanishi hivyo
Dogo: sasa unamaanisha nini?
Dada: anaonekana ana hela au?
Dogo: Mimi sijui jamani.
Dada: Anapokujaga kukutongoza huwa anakuja na usafiri gani?
Dogo: Anakujaga kwa miguu tu
Dada: duuh mdogo wangu hujamuuliza anafanya shughuli gani?
Dogo: Hapana lakini mara nyingi namuonaga pale kijiweni wanapopaki bodaboda muda mwingine namuonaga kwenye michezo ya kubeti.
Dada: Dooh mdogo wangu kalagabao sikushauri mdogo wangu, huyo atakutumia tu hana mapenzi kabisa na wewe. Kwanza kama havuti bangi huyo sijuiiiii.!
Dogo: Haa hata mimi nilihisi hivyo dada yani kesho ole wake anifate nitamchamba huyo hataamini.
Dada: eeh dogo tafuta mtu mwenye maisha akuhudumie hupendi kupendeza wewe?
Dogo: Napenda dada.
Dada: sasa mwanaume suruali sikuhizi hawafai tafuta danga lako likupe maisha mjini hapa o hoooo.

ndo mn ikaitwa jf, mkiwa na majina si ya kweli. Ata mambo ya umu si ya kweli. Usijijengee picha ya mtu usiyemjuaYani ww unafananisha ile unakutana na mtu untk mbususu, unampa pesa, mnapeana alafu imeisha iyo. Mimi siko uko. Niliko Mimi ni Kule ambapo Kuna vitu vdg vdg tu ni lzm utamuhudumia mpnz wako. Ukatae ukubali, uduma kwa mwanamke wako ww unatoakuna huduma bila pesa? Unawezaje kutofautisha pesa na huduma? Kila huduma dunia hii uenda sanjari na pesa.
Hizo sio huduma ni hongo. Au hayo ni manunuzi maana natoa huku najua dhumuni ni zinaa inatafutwaIzo izo ofa unazotoa, ndizo huduma.