Unawaelewa wanaume wa Karne ipi ?Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Km nyie mnavyotumia sabuni, sio?.Demu anamilikiwa kwa kupewa hela?
Demu anakazwa na muhuni na huo ndio utaratibu hayo maswala ya kupewa hela ni subjective! Kama unaona hela ndio mapenzi tafta zako na ujitie vidole chumbani usikae ukamsogelea mwanaume!
Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumiaKwanini usitolee mfano buku kenge wewekimtokacho mtu ndicho kimjazacho nafsi! Pole sana kwa kuikosa 300K ila nakusihi pambana kuitafuta usitegemee mwanaume akupe hela wakati yeye mwenyewe hana!


Hakuna cha pisi kali wala pisi pole, iko wazi demu anayehitaji kutoa penzi kwa return ya huduma anajiuza. Na sisi hatuna shida hasa mimi na hao wanaofanya biashara kwani ndiyo njia walizochagua kuingiza mkono kinywani.Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumia![]()
Hahahahahah wanawake wengi mahusiano wameyageuza source ya kipato halafu wanatumia lugha kali za kufedheesha ili tu mtu ujiskie vibaya kuwa nao bila kuwapa hela zako! Its just a mind game and the weak fall prey!
Hela tupeane kama utaweza hilo sharti sawa sio unataka mimi kunigeuza money counter yako!

acha kulalamika sn bhn. Ww hudumia tu.Kabisa ili tukusanye mapene ili tuwaoweBasi sawa tumewaelewa, tutakuwa tunaomba kidogo kidogo![]()
Hakuna cha pisi kali wala pisi pole, iko wazi demu anayehitaji kutoa penzi kwa return ya huduma anajiuza. Na sisi hatuna shida hasa mimi na hao wanaofanya biashara kwani ndiyo njia walizochagua kuingiza mkono kinywani.

utakataa tu lkn ukikaa na kutafakari kbs. Ukipenda utatoa tu, tena ww mwenyewe bila kuombwa. Iyo ndo Hali halisi ya maisha.People kuna new hoe in town dau ni 300k nawashauri,,, mpe 30k kwa match ili ufaidike,,naona what anafanya kwa post yake ni justifying umalaya,,,, mods naomba muubadilishe uzi uitwe "justifying immorality"
Sent using Jamii Forums mobile app


povuuu km lote.Utata upi , bwana mdogo., swali lako tata
Acha makasiriko mkuuWe call those "hoes" vp ni moral right kwako c ndio,, bas badilisha title from hyo uloweka to " i am a hoe"
No offense though
Sent using Jamii Forums mobile app

, sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea ujue nafasi yakoHapo unapiga na kusepa mazingira si rafiki kabisa. Sinaga rekodi ya kununua penzi kwa mtu niliyemtamkia nampenda akaridhia tukaanzisha uhusiano. Lakini kama nikununua aaah nanunua bila shida.utakataa tu lkn ukikaa na kutafakari kbs. Ukipenda utatoa tu, tena ww mwenyewe bila kuombwa. Iyo ndo Hali halisi ya maisha.
Naaaahpovuuu km lote.

facts zimekugusa unaziita povuMabaharia kama huna hela kama mimi jitahidi mara chache upendeze tuwachakate hawa wajinga wanaopenda hela
Mimi nazichakata sana nikipiga pamba zangu za kipindi nipo chuo mfukoni nna jero tuu wanajigonga gonga wanakuja kustuka nimemlia outdoor na condom ya serikali(Cupid) na hela hajapata anaishia kutukana![]()

na wajinga kweli haoKwa hiyo unauza huo ugwadu?Kwn mkipeana ugwadu huwa mnajulikn na ndugu
Wewe ni MWIZI! Huna hata aibu unalalamikia kupewa fedha juu ya mapenzi!!? Yaani kweli unautweza utu wako, maumbile yako kwa money exchange!!?

sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea kujali na kujua majukumu yako km mwanaume. Ata ukimpa vch ya jero ni huduma tosha. Sio mpk laki 3 niliyotolea mfano