Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Iko wazi wanawake wenye stori kama za mtoa mada hawana option tofauti na hii. Hivyo tumekuelewa mtoa mada, ila wanawake wenzio wapo busy kufanya chaguzi kwa vigezo tofauti na vyako. Amini kila mja na ulimwengu wake kutokana na mafanikio au maanguko aliyonayo.
 
Mwanamke wa aina Yako ni waku suuzia Rungu na kusepa...

Kama laki 3 unaona ni easy kwann usiwe nayo wew then unapiga mizinga.....

Datc why huwaga sinaga shobo na wanawake wasio timamu......
 
mm kuna demu aliniambia kabisa kama huna hela usije kunitembelea daah alinifikirisha sana siku hiyo ila nikapiga moyo konde siku zikaenda, yy akautumia usichana wake vibaya maana kipindi hicho alikuwa kigoli kweli. Baada ya miaka kadhaa kupita tukakutana morogoro katika harakati za kutafuta maisha, daah huwezi amini lile umbo namba nane halipo tena yani kiuno hakieleweki kiko wapi tumbo linaanzia wapi. Uso umechunda kwa kujichubua, ziwa kama ananyonyesha watoto yatima. Kazalishwa watoto wawili basi tukabadilishana namba. Sasa sikuhizi kila muda akituma sms lazima asisitize niende kumtembelea. Basi tu sinaga roho ya visasi ila ningemjibu hovyo.
Pole
 
Yaani kaka wanatufanya kama source of income zao! Mwanamke analalamika kabisa hapewi pesa,wakati huo msela upo unapambana na maisha! Na siku mambo yamenyooka baby nyingi za hapa na pale! Wakati una pambana walikua wanakuona si kitu,si chochote!
Ukipambana pambana. Kwn unafkr hakunaga wanawake wenye mapenzi ya kweli,?
 
Usitegemee kijana wa under 20 akawa na good life,hapo kwanza ndiyo katoa Chuo,bado ana hustle kitaa,alianza walau 30 hivi ndiyo mambo yanaweza anza kunyooka taratibu! 40 huko mambo yapo kwenye msitari! Sasa wewe baada yakuanza nae from the scratch unasubiri atobod ndiyo ukajipachike?? Unadhani atakuheshimu??
Usikariri
 
Kuna Mme na mwanaume! Kuna mke na mwanamke!

Mimi kama mme wa mke wangu siwezi acha timiza wajibu wangu kama Mme na Baba wa familia!

Tatizo lenu mnapenda kujiweka kwamba ushakua mke wa mtu flani,wakati huo Mimi sijafika hata kwenu kukutolea mahali ili tuishi pamoja! Mimi bado ni boyfriend wako tu,sasa naweza vipi kujilipua hadi niwe natoa pesa za matumizi kwako wewe?? Nitatoa pesa, nitakununulia gari,nitajenga nyumba na nitakua na miradi mingi kwa ajiri ya familia yetu,sasa wewe ni girlfriend tu,unataka nikupe hadi mali ambazo wanapaswa kujua Baba na Mama yangu tu,subiri uolewe utapata vyote unavyotaka! Unataka pesa zangu kwani unauza papuchi?? Kama hamu naweza kwenda hata pale uwanja wa Fisi,Buguruni nikafanya acquisition ya demu,nikaenda kutoa hamu zangu!

Matokeo yake,mnakua mnapata wanaume ambao hawataki usumbufu,wanakua wanakula mbususu nakukaa pembeni,ukija shituka mda ushaenda,hakuna hata mtu ana time na wewe! Unaanza na kwenda kusali kwa kina Mama Rwakatale wakuombee upate Mme! Acheni kujipachika mambo mazito!
mkuu naona ujaelewa nilichomaanisha. Huduma sio mpk umpe gari, nyumba, ajue miradi yako. Mbn mbususu unakula husemi subiri nisiichoshe mpk tufunge ndoa?. Ata ukimpa jero ya vocha kwa mwaka bd hiyo itabaki ni huduma na unamjali mwanamke wako.
 
Kwanini tusizisake wote hizo pesa from scratch. Why wait around at the finish line and not at the start of a man's race??
Tuzitafute tu, hiyo mbn sawa kbs. Lkn Kuna wkt utampa tu ata km ni kdg, ukatae ukubali huwa mnatoa
 
Kimsingi ukishaona binti anachanganya mapenzi na pesa tambua tu unadate na muuzaji na si mtu wa kumtumainia kumfanya mke siku za usoni. Kinachobaki hapo wanaume tunapiga mbususu kutokana na gharama tunazoingia na siku tukikinai, tunanyanyua majeshi kwenda kambi nyingine sampuli kama ya awali mpaka tukutane na hapana hiyo kwanini usiiweke tu itatusaidia baadae huwezi jua ya kesho, mara mpenzi wangu una matumizi mabaya ya pesa mm sipendi siyo vizuri. Naam kwa kauli hizi sasa tunajipachika kama tatto na si stickers tena then tunafanya maisha.
Tofautisha kati ya pesa na huduma
 
Ebu kila mtu kwanza atafute ela zake ukute anaekupiga kizinga cha laki 3 nae hana hata tembo wanne, inshort na yeye anashida na njaaa tu, halafu mke ndo anahudumiwa ukiwa nae ndani siyo mara mchumba sijui mpenzi sijui vitu gani ebu kila mtu ashinde mechi zake
Iyo ndo njia sahihi. Achana na mahusiano, tafuta pesa zako
 
Kuna kitu kinanitafakarisha sana. Hivi mahusiano ni biashara.... indirectly, au ni barter trade, au mapenzi ni nipe nikupe... Huna usinijue..... Mapenzi ni nini hasa pale ambapo Mwanamume anakuwa amefilisika au amefulia kabisa???
Tofautisha pesa ktk mapenzi. Yule ambaye anajiuza. Unampa mbususu anakupa pesa. Imeisha iyo, teyari mmemalizana. Huo tunaita ni umalaya. Na kitu kinachoitwa nafasi ya mwanaume ktk mahusiano, kataa kubali wanaume wote wanahudumia wanawake zao ktk mahusiano yao. Hkn ambaye haudumii, ata km ana malengo naye, ata akimpa vocha ya jero kwa mwaka tayari iyo ni huduma.

Lkn ukiona mtt wa kiume anacho kitu alafu anapenda kuhudumiwa na mwanamke wake ktk mahusiano yake. Bs chunguza vzr akili yake km ipo sawa au lah.
 
Back
Top Bottom