Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Kumbe hukunielewa!! Hebu tuliza akili kwanza kidoogo. Achana na na na hizo nyuzi za wadangaji wenzio kafungue nyuzi za wanaume ndio utanielewa hiyo comment ilimaanisha nini. Sisi sio wengi kama mnavyojiaminisha aisee, kuna muda tunatoweka ghafla na dunia ibasimama
Hahahhahah najua unataka kumaanisha kwa wale mandezi wanaolialia daily 😂😂😂 kwamba wameishiwa mbinu!

Mi nakwambiaje me mbususu nitakula as much as i want to and feel like! Cause im a man!
 
Hahahhahah najua unataka kumaanisha kwa wale mandezi wanaolialia daily kwamba wameishiwa mbinu!

Mi nakwambiaje me mbususu nitakula as much as i want to and feel like! Cause im a man!
Mambo huanza hivyo hivyo, halafu baadae sasa

Hamna shida walaa hatuwakatazi kula nyie kuleni tu. Ila sasa pesa zetu tunazitaka hilo ndilo la msingi.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Aah wapi, mnatupatia vizuri tu, na mtaendelea kutupatia. Na hilo sio ombi mkwe
Hahahahahahaah ex mkweee.... pesa hampatiiii
Kwani jaman kutupenda ni kazi kwenu mnahitaji salaries?
 
Nasikitika tu kusema pesa zangu zimeshikana na roho yani naweza nikafa nikizitumia hovyo
Na matumizi yenyewe ndio kama hivyo.
Toa hela we mpare hutozikwa nazo, kenge maji mmoja wewe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sio kweli ...unadate na mtu akipita sokoni anakwambia nanunua nyama utanirudishia nikifika home ...nyie viumbe
Sasa kwanini usimrudishie hela yake jamani? Huo utakuwa utapeli!!
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Mnawalea wenyewe na hiyo 50/50 na usawa wa kijinsia mnayo ifundisha mashuleni,inawalemaza watoto wa kiume wa siku hizi.

Kadili mnavyo endelea kuipush 50/50 na ndivyo wanaume wanapungua na wavulana wana ongezeka.
 
Sio kweli ...unadate na mtu akipita sokoni anakwambia nanunua nyama utanirudishia nikifika home ...nyie viumbe
Hahahahha yani wanawake wa kibongo wana tabia za pekee sana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hahahahahahaah ex mkweee.... pesa hampatiiii
Kwani jaman kutupenda ni kazi kwenu mnahitaji salaries?
Hakunaga ex mkwe wewe, once mkwe basi ni mkwe tu.

Tunawapenda sanaa pamoja na pesa zenu. Kama Extrovert amesema pesa zake zimeshikana na roho, sasa utampendaje bila kupenda na pesa zake? Huoni hayo ndio mapenzi ya dhati!
 
Mnawalea wenyewe na hiyo 50/50 na usawa wa kijinsia mnayo ifundisha mashuleni,inawalemaza watoto wa kiume wa siku hizi.

Kadili mnavyo endelea kuipush 50/50 na ndivyo wanaume wanapungua na wavulana wana ongezeka.
50/50 na women empowerment imetengeneza wanaume wengi ambao ni jobless na weak to the point imeanza dharau sasa!😂
Wanawake ndio wanamiliki fursa nyingi za hela ila wao wanataka walelewe na ma jobless
 
Back
Top Bottom