Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

jipange bidada kama kajamaa kula kulala ulitaka kakupe laki tatu katatoa wapi? kama uko vizuri hukutakiwa kuleta povu humu ulitakiwa kusepa kimya kimya tafuta mwenye hela , na ukitaka mwenye hela ujue we utakua side chick tu uvumilie tu maana atakua na mishe zake na familia pia we utakua spare tairi tu
 
usikute unaowachagua ni kama wale wauza sura na muonekano.

wenye pesa uwezi kuwa fahamu hata kidogo we endelea kudili na wanaume unao wachugua hao
Nimeipenda hiyo. Aendelee na wauza sura wake.
 
usikute unaowachagua ni kama wale wauza sura na muonekano.

wenye pesa uwezi kuwa fahamu hata kidogo we endelea kudili na wanaume unao wachugua hao
Wenye pesa huwezi kuwafahamu au sio?? Huja kivingine.
 
Mtt wa kike anaweza asitoke kwao na akaolewa apo apo kwao tu. Lkn mtt wa kiume ww ndiyo baba wa familia, utaweza kuoa ilhali upo unakula kwa baba?. Na unamleta bint wa watu apo apo?. Ukiwa hujakaa vzr we tulia tu, piga pul mambo yameisha na sio kusumbua vidada vya watu vikusubr miaka 20 eti ukijitafuta
Kitu kimoja unashindwa kuelewa ni kwamba zama zimebadilika, hizi ni zama ambazo hakuna majukumu ya mwanaume wala mwanamke, hakuna kazi za mwanaume au mwanamke. Sasa hivi kuna mvutano linganifu kati ya wanawake na wanaume katika kila nyanja iwe kijamii, kisiasa au uchumi. Huko zamani usawa wa kijinsia haukuwepo mwanamke alichukuliwa kama mtu wa kukaa ndani bila kujihusisha na shughuli zozote za uzalishaji na hivyo kuchukuliwa kama watu wa kuhudumiwa na chombo cha starehe. Lakini sasa wana nafasi katika uzalishaji na wanapewa vipaumbele kwelikweli. Jambo la kukushauri kama bado unapenda ule mfumo wa zamani ni bora ukaenda kule kwa talban kwamaana wao wanaamini bado katika hili mwanamke kukaa ndani na kutoa uroda tu. Hakuna pesa tamu kama ya kuitafuta mwenyewe izi za kupewa unakuwa mtumwa amka sasa kumekucha nenda kawe mwanamke shujaa aka super woman kama kina shilole mwanaume akizingua anawekwa pembeni.
 
Kila mtu ana Sheria zake. Yeye km Sheria yake, shda zake ndizo zinamfanya atoe mbususu bs ni yeye. Usitujumlishe wote. Wengine unaweza ukatoa na mbususu ukaendelea kuifukuzia. Siku ukija kata tamaa bs umeshakwisha ww.
Unaongelea wanawake wa karne IPI kwa mfano , wanaume waliokua wanafukuzia mbususu mwezi hadi mwaka ulikua zamani sio sasa hivi , nyie wa karne hii , dakika sifuri tu , unachukua unaweka waaa ,
 
Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!

Sema dah, mzinga wa Laki 3?!

Hivi si mshahara wa mwezi mzima wa Police Constable huo?!

Kama graduate ndo anaamua kuwalipa Bodi ya Mikopo, si marejesho ya takribani miezi 3 hayo?

Basi iwe angalau 50K, lakini 300K?!

Hapana bhana, NOT FAIR kabisa...
Daah mnatudharau sana sisi constable wa polisi hasa tulikotoka mikoani tukapangiwa hapa dar

Nani kasema tunalipwa laki 3

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Kuna kitu kinanitafakarisha sana. Hivi mahusiano ni biashara.... indirectly, au ni barter trade, au mapenzi ni nipe nikupe... Huna usinijue..... Mapenzi ni nini hasa pale ambapo Mwanamume anakuwa amefilisika au amefulia kabisa???
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Hahahaha hasira zako zimeshaisha? Hivi ni umekutana na wala tunda kimasihara siyo washatoa dose TDS X5DAYS Pole mwaya
 
Inaonekana una vielementi vya umalaya au una matatizo ya akili.

Huyo kijana anaeishi kwao/hana kazi haina maana kuwa apambani kujikomboa (japo wapo walioridhika na hiyo hali)
Alaf date na mtu unaeona anakidhi vigezo vyako sio utoke na mtu kwakuwa amekutongoza tu. Hiv had unamuomba 300k ulikuwa umeangalia hali yake ya kiuchumi ama ndio kujifedhehesha?

Alaf mwisho kumbuka kuna tofauti kati ya husband material na muongaji kwenye utoaji wa ela. Husband material hawezi kukupa ela tu kisa umemuomba pasipo kujua matumizi sahihi ya hio pesa ni yapi na yana faida gani. Sasa jichanganye tuendelee kukuchezea kwa kigezo cha kuhudumiwa

Kachaaaaa!!!!!! Ngaaaaaaaah ya kichwa!

Nakazia
Siwezi kutoa hela ikiwa sijui ya nini
Na inafaida gani!!
 
Back
Top Bottom