Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Nyie SI mnalilia usawa??????

Huu upuuzi wenu ndo umesababisha wanaume tubweteke, wengine wakose nguvu za kiume, wengine wasione shida kukaa TU Kwa baba zao maana wanajua wanatahangaikia vitu ambavyo mwisho was siku mnaleta ujinga.

Yaani mtu apambaaaane ajenge, awe na biashara, awe na Mali Fulani halafu aje aoe nyie ndezi kwenye mahusiano mumletee mambyo ya usawa ndoa ikifa mkombe nusu ya Mali yake??

Pumbavu.
Sasa ukifa unategemea uzikwe nazo au? Ndio tunazikomba.
 
Hakunaga ex mkwe wewe, once mkwe basi ni mkwe tu.

Tunawapenda sanaa pamoja na pesa zenu. Kama Extrovert amesema pesa zake zimeshikana na roho, sasa utampendaje bila kupenda na pesa zake? Huoni hayo ndio mapenzi ya dhati!
Hahahahaahhaa nmefutaa ...mama mkwe mpendwaa ila pesa mtuonee huruma
 
Hahahahaahhaa nmefutaa ...mama mkwe mpendwaa ila pesa mtuonee huruma
Yaani kuna kiumbe kina huruma hapa duniani kama mwanamke kweli? Tunawahurumia sana jamani, ndio maana tunawaomba kidogo tu sio sana.
 
Siku ukiacha kudanga ndio utapata mwanaume, usawa huu unamuomba mwanaume laki tatu kweli?
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
 
50/50 na women empowerment imetengeneza wanaume wengi ambao ni jobless na weak to the point imeanza dharau sasa!😂
Wanawake ndio wanamiliki fursa nyingi za hela ila wao wanataka walelewe na ma jobless
50/50 mbaya sana wanawake wakija kishtuka washachelewa huko mbele unaweza ukasikia WAVULANA nao wanadai usawa wa kijinsia.

Na mara nyingi wanawake wenye hela na mwanaume mwenye misimamo ya kiume hawaivi, ndio maana wanaishia kuwapata Mario,baadae wanakuja kulalamika humu kwenye majukwaa.

Acheni kulalamika wanaume wa karne hii kwani mme watengeneza wenyewe na kila siku zinavyoenda, version mpya ya Mario wanazidi kuiboresha kupiti kampeni zao za 50/50 na women empowerment.
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Umeandika.kwa hasira kinoma. Na wewe kama.mwanamke tambua mahusiano.sio chanzo cha wewe kupata mapato. Inshot unauza..? Dada kama mwanaume wako hana hela na wewe tafuta kazi mapenzi sio mradi kuwa atakupa hela kila wakati. Na mnasemaga 50/50 nyie wanawake ndio hamueleweki. Mwanaume kama hana hela hivyo hastahili kupenda na kupendwa..?
 
Atakufilisi mkuu.
Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!

Sema dah, mzinga wa Laki 3?!

Hivi si mshahara wa mwezi mzima wa Police Constable huo?!

Kama graduate ndo anaamua kuwalipa Bodi ya Mikopo, si marejesho ya takribani miezi 3 hayo?

Basi iwe angalau 50K, lakini 300K?!

Hapana bhana, NOT FAIR kabisa...
 
Back
Top Bottom