Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Kibaya zaidi wewe sio wife material bali malaya material.
Kabla hujaolewa hudumiwa na wazazi wako, haya unayoyataka anastahili mwanamke aliyeolewa na yuko ndani kwangu na sio kwao akipiga mabomu wanaume 10.
 
nielekeze bs sura zao nizijue. Ili next time nisijikanganye

tatizo sio sura.
wanaume wenye malengo na wenye nia kuwa na sifa ya kuwa mwanaume bora kwa mwanamke.mmeshindwa kuwa tambua kutokana mfundwi na kufundushwa na wakubwa zenu.
 
ss si unatoa huduma kulingn na Hali yako?. Ww km una sehemu ya kujishikza bs ni vzr. Mimi nasemea ambao hawawez ata kujilisha ugali wao wa siku 1. Kila ki2 baba afu ank mwanamke.
Ukimuona mwanaume wa hvyo jua ata mwanamke alienae ana matatizo hana nguvu ya ushawishi wala future yeyote. Na wapo wa aina hyo sio kwamba hawajishughurishi ila mambo yao tu hayajakaa sawa bado
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Punguza makasiriko basi 😂😂😂 hizi kauli hutoka kwa mwanamke ikiwa hujapenda ila ukipenda wala haitakua kikwazo na huwa mnaelewa situation kama zilivyo!

Tunapitia nyakati mbaya kama dunia ya tatu fursa za kazi ni ngumu. Umaskini umekithiri ajira hakuna unategemea nini? Wanaume wengi watazidi kuwa wabangaizaji wa maisha sababu wanatoka vyuoni wakiwa na ndoto za kutoboa kimaisha ila ajira hamna wanawake wengi ndio mna favor kwenye ajira sikuhizi hasa ukiwa mrembo na tako!
 
"Papuchi zinasmell samaki nani atoe hela"
" Tutaendelea kuwagonga na kusepa"

Walisikika wakulungwa wakiongea baada ya kusoma hii thread
wenzio walamba iyo mipalange nawanafukunyua hadi hina zinatoka nawanatoa pesa wakiona jina alaf ww unasemea izo smel samak hahahhaha tembea uone
 
Wacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Acheni upuuzi nyie, ngenya sio equivalent na pesa! Mkiitwa malaya mnakuja juu oh nyie si ni kama mama zenu blaah blaah!!!

Mama zetu wangekuwa na fikra za kichoko namna hii tusingekuwepo leo! Wengi wameuza mama ntilie na kupika pombe pindi washua walivyo lost kimaisha na bado K walitoa tukazaliwa mabaharia! Sasa nyie leo kitu kidogo tu mnataka kuzifanya Ngenya kama kitega uchumi, ni umalaya huo in another form. K umepewa ni ya uzazi sio biashara.
 
Back
Top Bottom