Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Na mara nyingi hua tunawaomba mbususu mkishaanza kulia shida ,
Nimekutana na ww Leo tu ,kesho tu zinaanza shida lukuki , sasa ntaachaje kukuomba mbususu kwa hali hiyo
Kila mtu ana Sheria zake. Yeye km Sheria yake, shda zake ndizo zinamfanya atoe mbususu bs ni yeye. Usitujumlishe wote. Wengine unaweza ukatoa na mbususu ukaendelea kuifukuzia. Siku ukija kata tamaa bs umeshakwisha ww.
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Umeshasema vijana (bongo fleva type), kwani mwenzetu husomi magazeti au kusikiliza taarifa ya habari redioni? Serikali ilishasema vijana wengi hapa Tanzania wana matatizo ya kiakili na wewe bado unawadate hao hao. Angalia Ali Kiba kwa mfano, dogo bado hajitambui eti anatongoza demu kama Mange Kimambi, for what? Mange is an ugly woman na ndiyo maana ana date vibabu vya kizungu viliochoka na wasiojuwa uzuri wa mwanamke. Diamond ndiyo usiseme, yaani vijana wote wa bongo fleva na mashabiki wao wana matatizo ya kiakili.
 
Ni huyo bwana ako ndio kashindwa kukutunza. Usisahau kwamba wapo wanaume wengi tu wanatimiza majukumu kwa wake zao hadi michepuko. Kama umepata kula kwa baba basi bahati mbaya na sio kujumuisha wanaume wote

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Nenda kasome kitabu kiitwacho Kizazi Hiki. Hata hivyo mwanangu nakubaliana nawe japo si wote. Kizazi cha sasa kimeendekeza mapenzi na upuuzi. Hata hivyo, nasi wazazi ni wa kulaumiwa tokana na kujenga mfumo tegemezi ukiachia mbali kushindwa kuendeleza nchi zetu kiasi ambacho kingewawezesha vijana wetu wapate fursa za kujikomboa.
 
Hahhahaha sidhani kama ni kweli SHIMBA YA BUYENZE
Ingekuwa ni jina unique kama lako mfano mtu akija na ID SIMBA YA BUYENZE ambayo inakaribiana na ID yako ningeona kweli mtu anajaribu 'kujipenyeza'

Lakini kwa jina kama joanah ni common sana na watu wengi wanaitwa hili jina

Sidhani kama mimi ni maarufu namna hiyo hata mtu atake kujiita kama mimi...kwanza hata akijiita kama mimi anapata faida gani?mimi mpaka sasa sijaona umuhimu wa kuwa maarufu kwa hapa JF

Halafu kwa taarifa yako tu nimekumiss,sijui mie ndo nimekuwa adimu ama ni wewe hauonekani humu

Kuwa maarufu hapa kuna faida nyingi bana. Ukianzisha sredi inachangamkiwa na wananzengo haidodi hata siku moja. Pia ukisema kitu unasikilizwa; na ikitokea ukaporomoshewa matusi au kudhalilishwa na masadists wa hapa unakuwa na watu wengi wa kukutetea. Pia huko PM kwako kutakuwa hakukauki - wasalimiaji, watongozaji n.k...miamala left and right. Na siku hizi kuna stories of change unaweza kuandika chapisho lako huko halafu ukaanzisha amsha amsha ya kupigiwa kura mwisho wa siku unashinda unaondoka na milioni 5 keshi

Mimi mbona nipo tu ila hapa katikati kuna mod alikuwa na bifu na mimi alikuwa akinitandika ban kila kukicha. Nadhani sasa nimemalizana naye. Thanks Jojo
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.

Johana wala usipate taabu, umekutana na wavulana ambao bado hawajajua nafasi yao. Wakifikia kuwa wanaume lazima watakua na sifa za wanaume kwa kujielewa na kwa matendo sababu kabisa.

Wanaume wanaojielewa na kujua nafasi na majukumu yao wapo na kati ya tabia zao ni kwamba
1. Hawakubali kuwa tegemezi kwa wanawake sababu wanajua nafasi na majukumu yao; na wanawajua wanawake
2. Wakiwa vibaya kiuchumi wanapambana kutafuta mafanikio na sio kutafuta wanawake. Tena wengi wao huwa hawana hata appetite ya mapenzi bila pesa
3. Anajua mwanamke wake anahitaji security/usalama kijamii na kiuchumi na anahakikisha anapata kila aina ya kitakachompa usalama bila hata kuombwa wala kuulizwa

Nguvu za kiume zinaanzia kichwani kwenye ubongo na mwanaume anakua sawa akiwa vizuri kisaikolojia kwa maana ya kwamba awe vizuri kijamii na kiuchumi.
Ukiona mwanaume ambae hana pesa, hana mali, hajui hata baada ya masaa mawili ataishi vipi na atakula nini lakini appetite ya ngono iko juu kimbiaa. Huyo sio mume wako useme ameyumba kidogo na mnasaidiana asimame.
Huyo ni binadamu ambaye hana commitment kwa maisha yake binafsi
 
Umeshasema vijana (bongo fleva type), kwani mwenzetu husomi magazeti au kusikiliza taarifa ya habari redioni? Serikali ilishasema vijana wengi hapa Tanzania wana matatizo ya kiakili na wewe bado unawadate hao hao. Angalia Ali Kiba kwa mfano, dogo bado hajitambui eti anatongoza demu kama Mange Kimambi, for what? Mange is an ugly woman na ndiyo maana ana date vibabu vya kizungu viliochoka na wasiojuwa uzuri wa mwanamke. Diamond ndiyo usiseme, yaani vijana wote wa bongo fleva na mashabiki wao wana matatizo ya kiakili.
Mmmh wale wameshajitengenezea maisha yao. Ata wakimtongoza nani kwao no hiyari yao maana atawahudumia tu. Mimi apa ninasema na jobless, kula kulala kwa baba. Kutwa kushinda kijiweni alafu anakaa kumtongoza bint wa watu. Then akija ombwa ata elfu kumi Hana.

Wakati huo kijana acha kuwaza ngono ma kumpotezea bint wa watu malengo. Ww pambania maisha kwanza, tafuta pesa kwanza ndipo wanawake utawaona watamu sbb utakuwa unatimiza wajibu wako na unafanya majukumu yako km mwanaume. Lkn wanaume wa siku izi ni tegemezi sn., Wala hawajui nafasi yao km wanaume. Chakarikeni, pesa huna Ilo dude linasimamaje?
 
Ni huyo bwana ako ndio kashindwa kukutunza. Usisahau kwamba wapo wanaume wengi tu wanatimiza majukumu kwa wake zao hadi michepuko. Kama umepata kula kwa baba basi bahati mbaya na sio kujumuisha wanaume wote

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Ni vzr km unajua nafasi yako Hadi kwa michepuko.
 
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.

50 kwa 50 mnayotaka iyo
 
Nenda kasome kitabu kiitwacho Kizazi Hiki. Hata hivyo mwanangu nakubaliana nawe japo si wote. Kizazi cha sasa kimeendekeza mapenzi na upuuzi. Hata hivyo, nasi wazazi ni wa kulaumiwa tokana na kujenga mfumo tegemezi ukiachia mbali kushindwa kuendeleza nchi zetu kiasi ambacho kingewawezesha vijana wetu wapate fursa za kujikomboa.
Itabidi tunadilike Sana kwa kweli. Mwanaume ukiwa huna pa kushika, jitahd tu utafute pesa mapenzi yatakukuta uko uko.
 
Johana wala usipate taabu, umekutana na wavulana ambao bado hawajajua nafasi yao. Wakifikia kuwa wanaume lazima watakua na sifa za wanaume kwa kujielewa na kwa matendo sababu kabisa.

Wanaume wanaojielewa na kujua nafasi na majukumu yao wapo na kati ya tabia zao ni kwamba
1. Hawakubali kuwa tegemezi kwa wanawake sababu wanajua nafasi na majukumu yao; na wanawajua wanawake
2. Wakiwa vibaya kiuchumi wanapambana kutafuta mafanikio na sio kutafuta wanawake. Tena wengi wao huwa hawana hata appetite ya mapenzi bila pesa
3. Anajua mwanamke wake anahitaji security/usalama kijamii na kiuchumi na anahakikisha anapata kila aina ya kitakachompa usalama bila hata kuombwa wala kuulizwa

Nguvu za kiume zinaanzia kichwani kwenye ubongo na mwanaume anakua sawa akiwa vizuri kisaikolojia kwa maana ya kwamba awe vizuri kijamii na kiuchumi.
Ukiona mwanaume ambae hana pesa, hana mali, hajui hata baada ya masaa mawili ataishi vipi na atakula nini lakini appetite ya ngono iko juu kimbiaa. Huyo sio mume wako useme ameyumba kidogo na mnasaidiana asimame.
Huyo ni binadamu ambaye hana commitment kwa maisha yake binafsi
Well said dada. Tatizo vivulana vya siku hizi havitaki kuambiwa ukweli. Ndo mana umewaona apa jukwaani wakitoa mapovu.
 
Wanajitoa ufahamu tu, ukweli umewaambia
Kabisa, waache tu wang'ang'anie mapenzi ilhali hujui kesho utakula. Wkt nguvu izo angezitumia kutafuta pesa kwa juhudi, akizipt mbn mwanamke atamuona mtamu, sbb atakuwa anajua wajibu wake km mwanaume
 
Back
Top Bottom