Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,410
- 176,321
Basi sawa tumewaelewa, tutakuwa tunaomba kidogo kidogoWe hajui Tu simna fanyana mnaposubiria kuowana mwenzio hajakaa sawa kimaisha unamvumilia ajipange unampunguzia mizigo Sasa jamani mnataka tutafute hela tutafute mke tutafute Malaya wakupunguziana tamaa. Bado tuwape hela Malaya tusave kwaajili ya kesho. Tutafika kweli!!? Wanawake sisi wanaume sio wagumu kiasi hicho sisi tunahitaji ndoa zaidi hata ya nyinyi




mi nikutunze wakati hata mahari sijalipa una akili kweli?