Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

"Like dissolves like"
Jobless atatongoza jobless, na mwenye mahela atatongoza slay queens provided that mapenzi ya dhati hayajahusika.

Sasa ww slay queen unaetongozwa na jobless af utegemee akupe io laki tatu utakuwa umeenda kinyume na theory.
Mkatalie apate hasira atafte ela, sio umkubalie ili umtungie uzi.
 
Ndege wafananao huruka pamoja... Toka kwa wazazi wako wewe kwanza
Mtt wa kike anaweza asitoke kwao na akaolewa apo apo kwao tu. Lkn mtt wa kiume ww ndiyo baba wa familia, utaweza kuoa ilhali upo unakula kwa baba?. Na unamleta bint wa watu apo apo?. Ukiwa hujakaa vzr we tulia tu, piga pul mambo yameisha na sio kusumbua vidada vya watu vikusubr miaka 20 eti ukijitafuta
 
Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Nimeongea, hii ina maana siko uko unakofikiria. Ndo mn nimesemea mwanaume tafuta ela ndio umfate mdada wa watu na sio kutwa kijiweni then untk wadada wa watu, mwsho wa siku uvitie mimba ukimbie mtaa. Maana uwezo wa kulea huna.

Kuuza mbususu wadada Ili wapate pesa kupitia wanaume, huo sio ujanja na wala si akili,. .. over
 
Huyu anaongelea mwanaume au mume? Wanaume hawana majukumu isipokuwa wao wenyewe tu. Waume wao wana majukumu ya kifamilia angalia tofauti zao kabla ya kuwakilisha malalamiko.



Lunatic
unajifariji eeh..... haya bhn.
 
Kwaiyo unataka kutumia mbususu yako kama mtaji??

Anyway bora alivokunyima.
Alafu usitupigie kelele tafuta hela zako kama rahisi
wapi niliposemea kwamba nauza ss jmn. Huo ndo ukweli lkn, mwanamke matunzo. Sio ugali wa shikamoo afu untk mwanamke
 
Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
Na wanaume wanaoomba pesa kwa wapenzi wao wa kike tuwaiteje?. Mimi apa nasemea ambaye yeye ni ombaomba Kila siku kwa mwanamke wake, alafu mwsho wa siku anakwenda kuonga kwengine
 
Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!

Sema dah, mzinga wa Laki 3?!

Hivi si mshahara wa mwezi mzima wa Police Constable huo?!

Kama graduate ndo anaamua kuwalipa Bodi ya Mikopo, si marejesho ya takribani miezi 3 hayo?

Basi iwe angalau 50K, lakini 300K?!

Hapana bhana, NOT FAIR kabisa...
, Asante nimekuona.
 
usikute unaowachagua ni kama wale wauza sura na muonekano.

wenye pesa uwezi kuwa fahamu hata kidogo we endelea kudili na wanaume unao wachugua hao
nielekeze bs sura zao nizijue. Ili next time nisijikanganye
 
Back
Top Bottom