Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.

Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.

Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Women are dynamics,no one knows what a woman needs.
_Mwanamke ukimpa pesa kadri ya mahitaji yake atasema haumridhishi,hauna muda naye,hauna mvuto n.k
_Mwanamke ukimridhisha na kuwa na muda naye atasema "lakini hana pesa".

Kwa kweli nyie ni viumbe msioeleweka kabisa ndio maana tuliambiwa tuishi nanyie kwa akili.



FB_IMG_1633254567957.jpg
 
Wanawake akili hamnaga sasa unatoka na kijana wa watu hana kazi anaishi nyumban kwao unataka akupatie laki 3 kisa umempa mbususu,fikiria ataipata wapi au unataka awaibie wazazi wake.

Akili za wanawake
Huo mfn tu ndugu
 
Ikiwa wewe huna hiyo laki 3 unategemea yeye awe nayo?? Halafu majukumu ya mwanamke ni yapi maana mnafanya mpaka ya wanaume siku hizi hamna mwenye majukumu specific yani pambana na hali yako.
Kwn we huyajui?
 
Ngoja waje dada, umejipanga lakini? Wana mineno michafu hao wakiguswa kunakogusika. Utaitwa majina yote.
nawafahamu vzr ata hawanipi shida. Hawakubaligi ukweli ata siku 1
 
Na wote hao wanataka kujipenyeza kwa kutumia umaarufu wako hapa. Ambacho hawajui ni kwamba there will never be another Jojo here. Huoni hata mada za kichovu wanazoanzisha (na kuishia kuzikimbia?). The Jojo I know will never start a lame topic like this and and end up running away!
sijaingia jukwaani kwa umaarufu wa m2. Na sikujua km Kuna mtu anaitwa ivyo. Si Kila mda Niko uku. Sijakimbia mada nilikuwa bize kdg.
 
1) Don't panic mkuu. Just relax
2) mbn mmeshupalia sn iyo laki 3?. Huo ni mfano tuu jmn khaaaa. Alafu kengine wapo wenye uwezo wa kutoa iyo ela, ww huna bs ishia kwenye kiwango chako tu icho icho. Ukisema mpk ndoa ndio nikuhudumie, bs na ww usiombe kuhudumiwa mbususu mpk ndoa uone km utakubali
Na mara nyingi hua tunawaomba mbususu mkishaanza kulia shida ,
Nimekutana na ww Leo tu ,kesho tu zinaanza shida lukuki , sasa ntaachaje kukuomba mbususu kwa hali hiyo
 
Hahhahaha sidhani kama ni kweli SHIMBA YA BUYENZE
Ingekuwa ni jina unique kama lako mfano mtu akija na ID SIMBA YA BUYENZE ambayo inakaribiana na ID yako ningeona kweli mtu anajaribu 'kujipenyeza'

Lakini kwa jina kama joanah ni common sana na watu wengi wanaitwa hili jina

Sidhani kama mimi ni maarufu namna hiyo hata mtu atake kujiita kama mimi...kwanza hata akijiita kama mimi anapata faida gani?mimi mpaka sasa sijaona umuhimu wa kuwa maarufu kwa hapa JF

Halafu kwa taarifa yako tu nimekumiss,sijui mie ndo nimekuwa adimu ama ni wewe hauonekani humu
Nashukuru kwa kuliweka sawa Ilo. Hajui kwamba wengine wanajiita majina halisi.
 
"Like dissolves like"
Jobless atatongoza jobless, na mwenye mahela atatongoza slay queens provided that mapenzi ya dhati hayajahusika.

Sasa ww slay queen unaetongozwa na jobless af utegemee akupe io laki tatu utakuwa umeenda kinyume na theory.
Mkatalie apate hasira atafte ela, sio umkubalie ili umtungie uzi.
safi sn. Bora ww kdg umewapa nguvu kuwa watafute pesa
 
Wanawake wanaojielewa huwa hwana time na mipasho kama yako wewe inaonekana njaa inakusumbua tu yaani kuna mwanamke akitoka nje wanaume hatuishi kujigonga gonga kwakwe kwa misimu , mi esm ya mahaba na mi sms ya miamala ....
Ss km ww unatimiza wajibu wako bs tulia. Wahusika watajijua tuu
 
Women are dynamics,no one knows what a woman needs.
_Mwanamke ukimpa pesa kadri ya mahitaji yake atasema haumridhishi,hauna muda naye,hauna mvuto n.k
_Mwanamke ukimridhisha na kuwa na muda naye atasema "lakini hana pesa".

Kwa kweli nyie ni viumbe msioeleweka kabisa ndio maana tuliambiwa tuishi nanyie kwa akili.



View attachment 1974704
Ahahah jmn msitufanyie ivyooo
 
Back
Top Bottom