Udanganyifu mwingi pindi mkitaka mbususu
Sasa upo kwenye uchumba hata hujui mwenzako anaishi wapi alafu unaomba laki tatu kweli Johhana?
Kama umetania sawa, ila kama upo serious sidhani kama unaweza kuwa mama wa familia huko mbeleni.
Udanganyifu mwingi pindi mkitaka mbususu
Sawa lakin swali ni mwanaume asiye na kaz haruhusi kupendwa/kuwa kwenye mahusiano?[emoji2] unataka nilijibuje ss mkuu?. Wajibu wa mwanamke si unajulikn jmn
Ndo mn nilijibu pale juu, kwa mwanamke kukosa kitu haileti ugumu saaaaana. Ila pia wapo wanawake wanaachwa kwa kukosa kitu, kulingana na chaguo ambalo mwanaume analitakaaSawa lakin swali ni mwanaume asiye na kaz haruhusi kupendwa/kuwa kwenye mahusiano?
Na mwanamke akikoswa kiru gani asipende/afai kuwa kwenye mahusiano?
[emoji2][emoji2]just enjoy the moment bro. Kila kitu ukikichukulia serious mkuu utapotea. Hii ni dunia swirry.....Sasa upo kwenye uchumba hata hujui mwenzako anaishi wapi alafu unaomba laki tatu kweli Johhana?
Kama umetania sawa, ila kama upo serious sidhani kama unaweza kuwa mama wa familia huko mbeleni.
Iyo laki 3 nimetolea mfano tu jamaniii. Mbn mnaisakama sn iyo laki 3 [emoji2][emoji2].Sasa upo kwenye uchumba hata hujui mwenzako anaishi wapi alafu unaomba laki tatu kweli Johhana?
Kama umetania sawa, ila kama upo serious sidhani kama unaweza kuwa mama wa familia huko mbeleni.
Kwani ni vyema kupiga mzinga wa kilo 3?[emoji2][emoji2] jmn, vby ivyo ww
Tatizo wanawake wengi mmegeuza mapenzi kama ajira aisee , unaanzaje kwanza kumpiga mtu kizinga cha laki tatu c mshahara wa MTU huo ,Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
mwanaume asiye na kaz haruhusi kupendwa/kuwa kwenye mahusiano? Hili ujajibuNdo mn nilijibu pale juu, kwa mwanamke kukosa kitu haileti ugumu saaaaana. Ila pia wapo wanawake wanaachwa kwa kukosa kitu, kulingana na chaguo ambalo mwanaume analitakaa
Ndio kuu nyingine mbwembwe. Na nyie jukumu lenu ni kupanua japama.Ahahah iyo tu?
Teh teh teh, 50 ndo kiwango chako. Laki 3 huna. Sema tu ukwlWapo wanawake wa buku 3 Buguruni hao wanatufaa sana, sema nyie wanawake wenye hela mnatushobokea kutokana na kazi zetu tunazowaonyesha. Sisi kwenu tunakuja kikazi tu,, kama hauna hela niache na bby wangu wa Buza ambaye tumeahidiana mpaka ndoa.
We unaniomba laki3 wakati my wife tobe namwachia 50 kwa matumizi ya mwezi mzima ,,,, Kwa akili yako unategemea nitakupa hiyo laki 3?
Lete mkwanja nimpeleke my wife wangu salon.
1) Don't panic mkuu. Just relaxTatizo wanawake wengi mmegeuza mapenzi kama ajira aisee , unaanzaje kwanza kumpiga mtu kizinga cha laki tatu c mshahara wa MTU huo ,
Tafuta kazi ya kufanya ili uache kulalamikia wanaume kwa kuto kukupa pesa ,
Pia mtu ambaye inatakiwa kukugharamikia kwa kila kitu ni mmeo na c mwanaume ambaye umekutana nae tu barabarani tu , unaanza kumtwisha majukum wakati hata kwenu hajulikani , huu ni utapeli kabisa
Ndio maana tunawala kwa mpalanger sikuhizi1) Don't panic mkuu. Just relax
2) mbn mmeshupalia sn iyo laki 3?. Huo ni mfano tuu jmn khaaaa[emoji2][emoji2]. Alafu kengine wapo wenye uwezo wa kutoa iyo ela, ww huna bs ishia kwenye kiwango chako tu icho icho. Ukisema mpk ndoa ndio nikuhudumie, bs na ww usiombe kuhudumiwa mbususu mpk ndoa uone km utakubali
Anaruhusiwa Ila akili yake aiweke kwenye kujituma kutafuta pesa zaidi. Ili aweze kutimiza majukumu yake. La sivyo atakuwa anatwanga maji kwa kinu. Duniani mda wwt, kitu chchte kile kinaweza kutokea. Tena bora upendwe kuliko usipopendwa, hkn rang utaacha kuona. Wanaume mnalikataa apa Ili, lkn mioyoni mwenu mnalitafakarimwanaume asiye na kaz haruhusi kupendwa/kuwa kwenye mahusiano? Hili ujajibu
Wala haujakosea,, ndio maana unachokiomba hakiwezi kuwa. Yaani ni ulijichanganya tu kunivaa wa buku 3. Mi nikipata laki 3 naenda nunua kiwanja.Teh teh teh, 50 ndo kiwango chako. Laki 3 huna. Sema tu ukwl