Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?....
Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?
Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?....
Kwa hisani ya kitoko vodkaUjumbe huu umeletwa kwa hisani ya?
Khaaaa eti kashindwa kutumia rasilimali alopewa🤣🤣🤣🤣Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Basi mleta mada hajaitumia ipasavyoKwa hisani ya kitoko vodka
Maamuzi ya kuingia kwenye ndoa navojua hayafosiwi na mtu kujitongozesha.....mtu anaoa akiangalia future life yake na watoto wake mambo ya shape waachie wanunuzi na wauzajiUkitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..
Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha
SAMAHANI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kiwingu...smooth tasteKwa hisani ya kitoko vodka
Sasa uoni kama wewe ndiyo huna akili. Utamuitaje kijana ambaye bado anaishi na wazazi wake husband material. Kwan husband material mpaka akupe laki tatu?Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Kama ulivyotaja vijana wa zamani,wewe ni wa zamani kwan vijana wa zamani uliwajulia wapi?waache vijana wa sas kwan umri wako ushapita hawakuhusuHabari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Wakulungwa watalewa hapa 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kiwingu...smooth taste
Yeye anadhani kujimwambafai ndiyo sifa mojawapo ya kumfanya aonekane ni wife material! Kumbe na yeye mwenyewe ni wale wale tu.Kesi imepelekwa mbele jf itakaa tena wiki mbili zijazo
Upelelezi unaendelea kwa mda
Je wewe ni wife material au unazan mwanamke kupambana ndio anakuwa wife material?
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Si mlisemaga haki sawa..sasa mnataka laki 3 za nini?Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi