Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Wacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Kwa hiyo unataka kusema kua wanawake hua hawahitaji dusherere?
Msifanye mapenzi kama ajira , fanyeni mapenzi iwe sehem tu ya kuleta furaha na starehe ya kuongeza siku za kuishi , lakin
Mapenzi yakiwa ajira , mwisho wake ndio huu wa kuja kulalamika hujuapewa hela ,
 
Inaonekana una vielementi vya umalaya au una matatizo ya akili.

Huyo kijana anaeishi kwao/hana kazi haina maana kuwa apambani kujikomboa (japo wapo walioridhika na hiyo hali)
Alaf date na mtu unaeona anakidhi vigezo vyako sio utoke na mtu kwakuwa amekutongoza tu. Hiv had unamuomba 300k ulikuwa umeangalia hali yake ya kiuchumi ama ndio kujifedhehesha?

Alaf mwisho kumbuka kuna tofauti kati ya husband material na muongaji kwenye utoaji wa ela. Husband material hawezi kukupa ela tu kisa umemuomba pasipo kujua matumizi sahihi ya hio pesa ni yapi na yana faida gani. Sasa jichanganye tuendelee kukuchezea kwa kigezo cha kuhudumiwa
ss si unatoa huduma kulingn na Hali yako?. Ww km una sehemu ya kujishikza bs ni vzr. Mimi nasemea ambao hawawez ata kujilisha ugali wao wa siku 1. Kila ki2 baba afu ank mwanamke.
 
Yeye anadhani kujimwambafai ndiyo sifa mojawapo ya kumfanya aonekane ni wife material! Kumbe na yeye mwenyewe ni wale wale tu.

Maana hajatuambia sababu ya kumilikiwa na mwanaume asiye na kazi! Na anayeshindwa kumtimizia hayo mahitaji yake.
Teh teh teh umenifikiria vibaya
 
Nilitaka niongee lakini wanaume wenzangu wameniwakilisha vyema.
Dada ww unadanganywa na appearance ukimuona mwanaume kavaa vizuri unajua hela ipo pale unajisogeza
wanaume walamba midomo hawana kitu. Nashukuru kwamba ata nyie wenyewe mnalitambua ilo
 
Kwanini uombe laki tatu?TAFUTA HELA YAKO UJARIBU KUHONGA LAKI TATU KWA MWANAUME UONE ILIVYO NGUMU.Hajakuoa,si Mme wako,wala baba yako,kwanini akupe pesa yote hiyo?
Weeeeee thubutuuu, laki 3 nzima nimuonge mwanaume?. Haijawah nitokea na sithubutu
 
ukiona umeshindwa kuhongwa jua wee ndo tatizo either una sura ya baba mikono ya mama
wenzako izo cash tunazivunja tuu kawaida
una milio mingi so jus chek ur self
izo appearance havihusiani mkuu. Mbaya kwako, mzuri kwa mwenzako. We hujaona sura ya baba lkn anapendwa balaa na pesa km Kawa?. Toa izo mambo kbs
 
Kwa akili zenu hizi za kutanguliza pesa eti ndo wajibu wa mwanaume. Mtaendelea kupelekewa moto na hakuna atakae waoa wala kuwaokoa kwenye ilo dimbwi lakutumika kama sehemu ya starehe.

Utatafuta izo pesa zako na utawakataa wasio na pesa na bado utarudi palepale unataka mtu wa kukuliwaza kiakili, kimwili na kihisia na hapa haijalishi anazo pesa au hana
Kwnn na nyie hamtafuti kujaliwa?
 
Back
Top Bottom