Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,567
Wacha weeeh!!Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Wacha weeeh!!Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
Tatizo matumizi ya papuchi tunaenjoy wote mtoaji na muombaji, lakin ela anaenjoy mpokeaji tu mtoaji anaumiaWacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Awe na mahusiano na pesa kwanza inatosha.Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?
Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?


Una hakika?Tatizo matumizi ya papuchi tunaenjoy wote lakin ela anaenjoy mpokeaji tu mtoaji anaumia
Ni mfano tu . kwan ww huwa uenjoy mkipeana?Una hakika?
Kwani sex nafanya mwenyewe si wote tunaenjoy. Ila pesa hizo unatumia mwenyeweWacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Una hakika wote tunaenjoy?Kwani sex nafanya mwenyewe si wote tunaenjoy. Ila pesa hizo unatumia mwenyewe
Na wote hao wanataka kujipenyeza kwa kutumia umaarufu wako hapa. Ambacho hawajui ni kwamba there will never be another Jojo here. Huoni hata mada za kichovu wanazoanzisha (na kuishia kuzikimbia?). The Jojo I know will never start a lame topic like this and and end up running away!Na kuna Joannah
Awe na mahusiano na pesa kwanza inatosha.![]()
Na wote hao wanataka kujipenyeza kwa kutumia umaarufu wako hapa. Ambacho hawajui ni kwamba there will never be another Jojo here. Huoni hata mada za kichovu wanazoanzisha (na kuishia kuzikimbia?). The Jojo I know will never start a lame topic like this and and end up running away!
Asubiri hadi awe na mahusiano nazo.Hana pesa sasa za kuwa na mahusiano nazo![]()
Sijauliza anahitaji huduma au hahitaji huduma, anaitwaje? Si umeona jamaa kasema mwanamke anayehitaji pesa kwa asiyemme wake ni malaya?Unataka kusema wanawake hawahitaji hiyo bidhaa?? Au ndo mmekalili maneno
Kwa hiyo asipokuwa na mahusiano na pesa afe na utamu wake?😂Asubiri hadi awe na mahusiano nazo.
Ndio ndio.Kwa hiyo asipokuwa na mahusiano na pesa afe na utamu wake?![]()