Siwaelewi wanaume wa karne hii

Siwaelewi wanaume wa karne hii

Wewe unafanya kazi gani hadi uweze kumpatia Mwanaume malezi? Hongera kwa hili

I guess wewe sio Mwanamke mzuri wa sura na Mvuto pia.

Wanaume huwa tunatumia pesa tukiwa nazo hasa mahali panapostahili, zisipokuwepo au tusipozitoa hapo ndo kick yenu kutuacha na kutushangaa hufuata

Nikuibie hii, "Katika Mapenzi ya kweli kuwezeshana Material things ni wajibu wa kila Mmoja"

Malalamiko yako ni ya kionevu na wala hayo unayoyataka sio Mapenzi
Ww km unajua wajibu wako bs tulia. Ni jambo jema Ilo. Kuwa na sura au kutokuwa na sura haviingiliani ivyo. Unaweza ukawa na shepu mbovu na mwanaume akafa akaoza na ukahudumiwa km kawaida. Ni swala la upendo tu. Apa tunaangalia wasiosettle kimaisha alafu antk kipoozeo
 
Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?

Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?
Swali zuri sn. Ila tunaangalia dhima za mwanamke na dhima za mwanaume ktk jamii kidg. Wanawake mbn wapo wanaachwa pia
 
Ukitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..

Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha

SAMAHANI
bila samahani apa ni sehemu ya kujipumzisha tuu. Ss mkuu Mimi cjaongelea sura, je kwa yule mwanaume Hana Kazi, yupo kijiweni na anamtk demu mkali kbs na uwezo wa kummiliki Hana. Apo tunawekaje ss lbd?. Na yeye uwezo hanaaa
 
Ukitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..

Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha

SAMAHANI
Ww hujawajua wanawake vzr ww. Mwanamke anaweza akawa pisi Kali kbs, lkn hutaweza kuamini anapomuhonga kijana wa mtaani mihela na mihela, either anaweza kutoa kwao au lah kwa shuga Dadi wake. Alafu ukimuona kijn mwenyewe anaweza akawa ata Teja
 
Maamuzi ya kuingia kwenye ndoa navojua hayafosiwi na mtu kujitongozesha.....mtu anaoa akiangalia future life yake na watoto wake mambo ya shape waachie wanunuzi na wauzaji
safiiiiiiii kbs, haelewi kitu uyu.
 
Sasa uoni kama wewe ndiyo huna akili. Utamuitaje kijana ambaye bado anaishi na wazazi wake husband material. Kwan husband material mpaka akupe laki tatu?

Najua mwanake anatunzwa na kupewa mahitaji yote anapokuwa chini ya mume wake na si kwa wazazi wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimeita ivyo kwenye swala ndoa. Kbl ujaolewa si lazima mchunguzane kwanzakiu jmn. Au nakosea?
 
Mtt wa kike anaweza asitoke kwao na akaolewa apo apo kwao tu. Lkn mtt wa kiume ww ndiyo baba wa familia, utaweza kuoa ilhali upo unakula kwa baba?. Na unamleta bint wa watu apo apo?. Ukiwa hujakaa vzr we tulia tu, piga pul mambo yameisha na sio kusumbua vidada vya watu vikusubr miaka 20 eti ukijitafuta
Kwani hukujua anaishi kwao hadi ukaanzisha mahusiano nae?
 
Dah!!
Mleta mada kapigwa spana mpaka namuonea huruma

Kakimbia Uzi wa moto
Ahahaha ubize kidg ulichangia mkuu. Sijakimbia, hii ni sehemu ya kufurahi tu na kujuzana mambo mengi. Huwez jua hii mada yng ya leo nani imfurahisha na imemtoa kwenye mawazo. Si Kila kinachoandikwa ni ukweli wa mtu. Tchaooooo
 
Back
Top Bottom