King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,057
Jiulize kwanini wenzako wanapewa lakini wewe hupewi? Tatizo lipo kwako
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Naona umepiga kwenye mshono. Kaa hapo hapo usubiri makomboraUkitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..
Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha
SAMAHANI



Hata mi nashangaa. Anataka wa nini hao wasio na kazi na wakati anategemea matunzo!!Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Siyo hivo, tatizo mleta mada anataka kutunzwa wakati anajua kabisa kampenda mtu hana kazi.Kwa hiyo mwanaume asiye na kazi haruhusiwi kupendwa wala kuwa kwenye mahusiano ee?
Vipi kwa upande wa mwanamke?akiwa hana kitu gani wanaume wanatakiwa wamuepuke?
ukiona umeshindwa kuhongwa jua wee ndo tatizo either una sura ya baba mikono ya mama
wenzako izo cash tunazivunja tuu kawaida
una milio mingi so jus chek ur self


sura za babaa tumewakosea nini jaman
Unataka kusema wanawake hawahitaji hiyo bidhaa?? Au ndo mmekalili manenoNa wanaume kuomba bidhaa ya mtu asiye mke wako inaitwaje mkuu?