Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

sasa ukikerwa mie ndio nikuridhishe? siko hapa kuridhisha watu kama nyie,huipendi ipotezee,unasema niwe creative ili nitoke? si ndio nimeshatoka teyari mpaka wewe unaidiskasi hii trade mark,ukiona manyoya ujue kashaliwa.Nalog off

Mbona maneno makali bro/sister weye hupendi challenge eeeh? hayo ni maoni ya baadhi ya wadau tu ukifuata poa kama wewe hapana taka elewa sisi, pia pouwa tu, no hard feelings mkuu. Halafu watu kama sisi ndo wapi hao? hebu fafanua, na pia I demand to know uko hapa kumridhisha nani? explain.
 
watu kama ninyi mnaotaka ninyi ndicho mnachokiona ndio sahihi vya wengine si sahihi,mie najua lengo lake ni kupaisha hii trade mark ya Nalog off,kwahiyo nimemchallenge kama alivyonichallenge yeye,lakini mwisho wa yote ni peace tu 😛oa,thanks again Mr.Bujibuji.Nalog off
 
hp_log_off_windows.gif

mia
 
Jamani hili suala lipo wazi, kwa mara ya kwanza itakusumbua lakini ukijua kuwa ndiyo swaga ya mshikaji jukwaani unaipotezea.
Hivi siku ya wajinga haiboi? Mbona watu wanaishadadia!
Bujubuji unatakiwa kuelewa mtu anatumiaje hilo neno, vinginevyo tuombe muongozo kwa MoDs.
 
Back
Top Bottom