Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?

Me nshamlalamikia huyo washwawashwa mpaka nkanyamaza! Km mpaka we limekukera bs lazma alog off au aache upuuzi wake! Alah!
 
Me nshamlalamikia huyo washawasha mpaka nkanyamaza! Km mpaka we limekukera bs lazma alog off au aache upuuzi wake! Alah!
Hilo lote donge hilo,linaona donge hilo,
hao hao wachekeni,wazomeeni.mwenye wivu ajinyonge.Nalog off
 
kuna watu wanatafuta umaarufu tu ila hata mimi sioni umuhimu wa hitisho kuwa nalog off au mia, labda wenyewe watueleze zaidi maana naona haya maneno kama yana umuhimu basi wayapeleke ktk signature zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom