Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Bujubuji alikuwa hajui kuwa hiyo ndiyo ID yako..................... We mpotezee tu kwa leo, naona keshajifunza kutoingilia uhuru wa wengine......
bamdogo ubarikiwe kwa maneno yako yalio jaa busara,bwana aende kuitakasa nafsi yako aingize nguvu zake za maajabu hadi kwa mkono ulioumia auponye kwa damu yake takatifu baba ameni! nalog on au on!!
 
ah! Ndeko nangai papa mopao,vipi kwema? wagema ulimbo unawaona wanavyochonga ngenga? Nalog off

Kwema kaka! Nimeona baba, lkn sebene imenifanya nisipate kero kutoka kwao!

papaaa mutu ya pesa

Aminata! Wewe penda pesa ya bakongo? acha kabisa, sisi kawaida taja watu watuza pesa vichwani mwetu huku sisi imba buyimbo!!

Bujubuji alikuwa hajui kuwa hiyo ndiyo ID yako..................... We mpotezee tu kwa leo, naona keshajifunza kutoingilia uhuru wa wengine......

Mtambuzi...Avatar yako kweli imekataa kiutambuzi ya kisayansi vile...hahahaha!

Napress Enter nyote hapo..(Nataka nimpindue Nalog off!! hahaha)
 
Kwema kaka! Nimeona baba, lkn sebene imenifanya nisipate kero kutoka kwao!
Napress Enter nyote hapo..(Nataka nimpindue Nalog off!! hahaha)
haupindui wala ninil,hili trade mark ina sacrifice za wachawi wote unaowajua wewe lol.Nalog off
 
08YdHrZgk.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom