Siungi mkono ukatili lakini...

Siungi mkono ukatili lakini...

Katika hizi replies zako mbili.... Umejabu sana kujenga defense na kuonesha kwamba am totally wrong na najichanganya.... What else can I do?nipingane na mtazamo wako!? For what... Mimi nitabaki kupigania usahihi na uhalisia wa post yangu na sio misimamo kama yako...
Umeona ni unafiki its alright.. Ndio maana ya mijadala sio mahubiri kwenye sinagogi, ama kelele za wanasiasa au barua za mapenzi... Ni mjadala wenye maoni tofauti
You got it twisted! Wapi nimetaka kuonyesha unajichanganya? Labda pengine kujaribu kuuelezea unafiki inaweza ikaonekana ama kutafsirika kama ni kuulezea tukio la "kujichanganya", saa nyinigine inawezekana unafiki ukawa mistaken for that. Kwasababau mara nyingi unafiki unakuwa ni jambo ambalo mtu haeleweki straight.

Ukatili ni ukatili period!
 
Kwahiyo umeona ulipokosea ama bado? Anyway ni mjadala huru... I just wanted to keep things straight...!
 
Mimi nadhani kusema kuwa hauungi mkono ukatili, lakini unaunga mkono ukatili only in certain conditions ni unafiki. Its either hauungi mkono ukatili, ama unaunga mkono ukatili. "Because you are for it before you are against it"

Kama ni kushughulikia ushoga, kuna njia nyingi tu ambazo siyo lazima ziwe za kikatili kama hizo ambazo wewe unaziunga mkono.
 
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Umeandika sijui Kwa Uchungu au kwa Hasira ila uko sahihi....kama mkristu sali sala ya Baba yetu uliyembinguni...

Mapambano na mwovu shetani ni magumu mno.

Umenikumbusha dhana ya Upanga kwa Upanga, eti amber rutty amepata alichostahili kwa kukalia tako moja pale Mahakamani.

Amefanya Dhambi nawe unafanya Dhambi kwa kumsokomeza vitu unavyojua makalioni, alafu unalalama kwamba to hell human rights.

Utulivu, Busara na bila Mihemko ingetosha kutumika kuhandle suala la Amber rutty bila kuathiri haki zake za msingi za Binadamu....

Uzuri umesema Amber Rutty ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha na heshima
Kwahiyo jamii haitamaniki na kina amber rutty sio kosa lao bali jamii imesababisha hivyo kwa malezi ya ovyo na yaliyopooza...

Nashauri jamii pia tuisokomeze vitu vitakavyosababisha ikalie tako moja kwa maumivu ili kuokoa, yasipatikane. Mazao ovu kama ya kina amber rutty na Wema Sepetu.

Siungi mkono ukiukaji wa haki za binadamu kwa ajili ya kukomoa badala ya kurekebisha.

Ingekuwa hivyo wengi wangekata viganja vyao sababu ya kunyewa na watoto,
tukemee maovu pale yanapoonekana, tusisubiri yakomae ndipo tutapetape kwa kulaumu na kunyanyasa waathirika.....

Amber rutty zao la uovu....tujiangalie na kujitathmini sioni tofauti ya kina Amber rutty, Ngangari poa, Diamond, Wema Sepetu, Babu Seya and the Co, Wasiojulikana wote ni zao la UOVU ndani ya jamii yetu Iliyo OVU na yote uliyosema..

Amber rutty ni Binadamu ana damu kuna FUNZO kubwa kupitia kwake..
 
Mimi nadhani kusema kuwa hauungi mkono ukatili, lakini unaunga mkono ukatili only in certain conditions ni unafiki. Its either hauungi mkono ukatili, ama unaunga mkono ukatili. "Because you are for it before you are against it"

Kama ni kushghulikia ushoga, kuna njia nyngi tu ambazo siyp lazima ziwe za kikatili ambazo wewe unaunga mkono.
Hebu turudi darasani kidogo na kuona tofauti ya hizi sentence mbili...
1. Siungi mkono ukatili.
2. Siungi mkono ukatili lakini....
Je unaweza kujua tofauti hapo ni ninini?
Ni kama kwenye ile mada ya dudubaya niliandika hivi..
Je dudubaya ni ngangaripoa? Wachangiaji wengi wakachukulia kuwa nimesema dudubaya ni ngangaripoa. Hivyo nimemhukumu.. Matumizi ya hizi alama ni muhimu sana ili kupata maana tarajiwa
 
Umeandika sijui Kwa Uchungu au kwa Hasira ila uko sahihi....kama mkristu sali sala ya Baba yetu uliyembinguni...

Mapambano na mwovu shetani ni magumu mno.

Umenikumbusha dhana ya Upanga kwa Upanga, eti amber rutty amepata alichostahili kwa kukalia tako moja pale Mahakamani.

Amefanya Dhambi nawe unafanya Dhambi kwa kumsokomeza vitu unavyojua makalioni, alafu unalalama kwamba to hell human rights.

Utulivu, Busara na bila Mihemko ingetosha kutumika kuhandle suala la Amber rutty bila kuathiri haki zake za msingi za Binadamu....

Uzuri umesema Amber Rutty ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha na heshima
Kwahiyo jamii haitamaniki na kina amber rutty sio kosa lao bali jamii imesababisha hivyo kwa malezi ya ovyo na yaliyopooza...

Nashauri jamii pia tuisokomeze vitu vitakavyosababisha ikalie tako moja kwa maumivu ili kuokoa, yasipatikane. Mazao ovu kama ya kina amber rutty na Wema Sepetu.

Siungi mkono ukiukaji wa haki za binadamu kwa ajili ya kukomoa badala ya kurekebisha.

Ingekuwa hivyo wengi wangekata viganja vyao sababu ya kunyewa na watoto,
tukemee maovu pale yanapoonekana, tusisubiri yakomae ndipo tutapetape kwa kulaumu na kunyanyasa waathirika.....

Amber rutty zao la uovu....tujiangalie na kujitathmini sioni tofauti ya kina Amber rutty, Ngangari poa, Diamond, Wema Sepetu, Babu Seya and the Co, Wasiojulikana wote ni zao la UOVU ndani ya jamii yetu Iliyo OVU na yote uliyosema..

Amber rutty ni Binadamu ana damu kuna FUNZO kubwa kupitia kwake..
Sometimes we have to learn a hard way.... Hata Mwenyezi Mungu alipoona Sodoma na Gomora imetopea kwenye uhayawani ule aliiteketeza ile miji bila huruma
 
Anaweza kuwa na maambukizi huko mkunduni ndio maana anashindwa kukaa vizuri,kwakuwa kifiro kazoea,na hakuna vipimo vinavyoweza kumjeruhi kwa kundu lile.
Cha msingi apatiwe matibabu,aendelee na kesi yake,haki itendeke
Samahani kwa Lugha kali,ana kera sana
 
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....

Tatizo kubwa ni kuwa nani awe wa kwanza kumrushia jiwe mtuhumiwa maana aliesema usizini ndie yeye huyo huyo aliesema usiongope.
 
Hujawahi niangusha zaidi ya juzi uliyotaka kuyonga yonga kuunga mkono miti milegevu
 
ko bro siku na ww ukilogwa basi tufurahie kwa kua umekua ukitoa mabandiko ya kilozi.

hata kama alikosea aadhibiwe kwa stahiki sio vile mkuu, siwezi ungana na ww kwa hili

ni vile maovu yetu hakuna ayajuaye/ayajaanikwa watu tuna maovu amber akasome. tena kama ww utakuta umewatanguliza wengi kibla bi vile hatujui tu ila waona amba ni mouvu sana kweli dunia bila unafiki haiendi
 
Hebu turudi darasani kidogo na kuona tofauti ya hizi sentence mbili...
1. Siungi mkono ukatili.
2. Siungi mkono ukatili lakini....
Je unaweza kujua tofauti hapo ni ninini?
Ni kama kwenye ile mada ya dudubaya niliandika hivi..
Je dudubaya ni ngangaripoa? Wachangiaji wengi wakachukulia kuwa nimesema dudubaya ni ngangaripoa. Hivyo nimemhukumu.. Matumizi ya hizi alama ni muhimu sana ili kupata maana tarajiwa
The problem is "Yes But", it makes a huge difference. Go back to class bro, i already know what i'm talking about, you can't have it both ways!

"Yes"(siungi mkono ukatili), is NEVER the same as "Yes But"(siungi mkono ukatili, lakini...)

Go and learn about "Yes and" vs "Yes But"
 
Kwa zile mada za chamdeko wako Ina Nipa picha kuwa ambaruthy ndo huyuhuyu Demiss

samahani mganga
 
Hujawahi niangusha zaidi ya juzi uliyotaka kuyonga yonga kuunga mkono miti milegevu
Kwanini ile mada haikueleweka kwa wengi kiasi kile? Mada ilihusu tabia za kutia shaka za dudu... Lakini mada ikapinduliwa na kuonekana natetea mashoga
 
Kwa zile mada za chamdeko wako Ina Nipa picha kuwa ambaruthy ndo huyuhuyu Demiss

samahani mganga
[emoji15][emoji15][emoji34][emoji35][emoji35][emoji848][emoji848][emoji848]
 
The problem is "Yes But", it makes a huge difference. Go back to class bro, i already know what i'm talking about, you can't have it both ways!

"Yes"(siungi mkono ukatili), is NEVER the same as "Yes But"(siungi mkono ukatili, lakini...)

Go and learn about "Yes and" vs "Yes But"
Sasa hapa tofautisha kati ya Kiswahili na kiingereza.... Utapotoka... Nijibu kwa muktadha wa Kiswahili kama nilivyoandika mimi
 
Kwanini ile mada haikueleweka kwa wengi kiasi kile? Mada ilihusu tabia za kutia shaka za dudu... Lakini mada ikapinduliwa na kuonekana natetea mashoga

Dudu Baya ndio kakosea lakini uwasilishaji wako nao ulikuwa wa kimtanziko
 
Back
Top Bottom