naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Mkuu sijui wewe ni dini gani unayetetea huu upuuzi, Kama wewe ni islam naomba nisaidia aya inayohalalisha, huu uzi umeeleza kila kitu sina la kukujibuKwa mwanadamu aliyeumbwa kwa sura ya Mungu hawezi kufurahia mwanadamu mwenzake kuteswa na kuumizwa bila kujali kafanya kosa gani kwa sababu kwa Mungu makosa/dhambi zote zinasameheka isipokuwa moja. Ushoga kitu gani hata tumwone binadamu hana thamani??...