Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,182
- 3,118
Tusipoelewana ni sehemu moja tu.unaisema jamii inafanya unafiki kwakua imeanza kukemea saizi.Kwasababu kuna baadhi ya maneno yako hayan nia njema ya kutaka kuelewa.
Mfano uliposema kuwa kina Bashite siyo wanafiki tena kwasababu walishatukanwa, na kwamba labda nilitaka kusikia wegine wakisema.
Hilo tayari inaonyesha unatetea ujinga wao. Hapo hatutaweza kuelewana mkuu.
Ndio nikakwambia hili suala jamii inalikemea mara kibao ila tu hawakupata kuwa wamoja kwakua halikutoka juu.
Hivyo tusiseme jamii ni nafiki.
Pia hao unao wasema kina bashite kuwa hadi walipiga nao picha ni kweli na watu waliongelea hiyo ishu.
Mwishowe bashite kaja na program though approach yake sijaungana nae.et tunamwita mnafiki.Binadamu tunaenda mbele tukijitafakari tunarudi nyuma.
Hivyo cha msingi ni kupinga hili suala na sio kwanza kusemana unafiki