Siungi mkono ukatili lakini...

Siungi mkono ukatili lakini...

Sasa hapa tofautisha kati ya Kiswahili na kiingereza.... Utapotoka... Nijibu kwa muktadha wa Kiswahili kama nilivyoandika mimi
Labda wewe ndiyo utapotoka.

Siungi mkono ukatili: "Yes but" ni sawa na kusema "Ndiyo, lakini..."

mfano: "Ndiyo, siungi mkono ukatili, lakini naunga mkono ukatili aliofanyiwa Amber Rutty". Huu ni unafiki! period!

Kwa upande mwingine ,

"Yes and" ni sawa na kusema "Ndiyo, hatahivyo..."

mfano:"Ndiyo, siungi mkono ukatili, hatahivyo jambo alilolifanya Amber Rutty si zuri kwenye jamii na siliungi mkono..."

Hiyo kauli ya chini ingekuwa less "Hypocritical" ama isiyobeba culture yetu ya unafiki, zaidi ya hiyo ya kwanza ambayo inaonyesha viwango vya SGR vya unafiki! Yani unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu wa sisi watanzania.

Unakubaliana na ukatili na kuupinga hapo hapo!Daamn!
 
Labda wewe ndiyo utapotoka.

Siungi mkono ukatili: Yes but=Ndiyo, lakini..."Ndiyo, siungi mkono ukatili, lakini naunga mkono ukatili aliofanyiwa Amber Rutty" Huu ni unafiki!period!

Kwa upande mwingine ,"Yes and" ni sawa na kusema "Ndiyo siungi mkono ukatili, hatahivyo jambo alilolifanya Amber Rutty si zuri kwenye jamii na siliungi mkono..."

Hiyo kauli ya chini ingekuwa less "Hypocritical" ama isiyobeba culture yetu ya unafiki, zaidi ya hiyo ya kwanza ambayo inanonyesha unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu wa sisi watanzania.

Unakubaliana na ukatili na kuupinga hapo hapo!Daamn!
Je utaweza usichanganye lugha? Ili uweze kupata tafsiri sahihi? Labda tu useme hukifahamu vema Kiswahili
 
Kwa mwanadamu aliyeumbwa kwa sura ya Mungu hawezi kufurahia mwanadamu mwenzake kuteswa na kuumizwa bila kujali kafanya kosa gani kwa sababu kwa Mungu makosa/dhambi zote zinasameheka isipokuwa moja. Ushoga kitu gani hata tumwone binadamu hana thamani??...
Vp kuhusu kuuwa mtu kwa makusudi
 
Kwako Mshana Jr. Nimesoma bandiko lako kwa umakini sana,,ulichoandika kina sound ya ukweli kabisa. Lakini je? Wajua kua Tanzania kwa sasa kuna vizazi vya aina mbili ngaaje wamebakia wachache sana wa 1920 to 1950. But majority ni 1950's to date.
Kizazi cha 1950's to 1980s kilikua ni kizazi ambacho mtoto wa jirani ni mwanao pia. Akileta ujinga unatandika fimbo za maana na akirudi kwao kwa baba ake na mama anatandikwa vizuri kwa kutenda kosa husika. Na heshima ilikua katika kiwango cha juu sana. Na ilikua ukiwa mtukutu tu jamii inakutenga ili uishi kama gendayeka.
Sasa kuna hiki kizazi cha 1990's to date..yaani 2018..ukitaka udharirike na pengine hata ufungwe mchape mtoto wa jirani yako. Ukitaka mitusi mseme mtoto wa jirani yako kwa tendo lolote ovu afanyalo. Hiki ni kizazi cha mtoto wangu ni wangu wewe hakuhusu kwa lolote kwani unamlisha au kumvalisha wewe?
Kizazi ambacho wenyewe wanaita kuwalea watoto kizungu, yaani mtoto afanye atakacho yeye bila kupingwa.
Sasa sio rahisi kumkemea mtoto asie wako na bahati mbaya mtoto akimzidi nguvu mzazi basiiii kapotea maana jamii haina mamlaka juu ya mtoto asiokua wao.
Sasa kwa issue ya huyo sijui Amber rutt ulitaka nani akemee? Ni ngumu sana maana wao wana msemo wao...kanishindwa baba na mama angu sembuse wewe!!
Mkuu waache wafanye watakavyo watajijua wenyewe.
 
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Najua huungi mkono kuachia video hadharani... ila mengine yote unaunga mkono... Yaani asingerusha video, mambo kwako ni shwari tu. Hizi video hizi... shenzi sana!

Mpare bhana...
 
Safi sana kamanda. Tunapaswa kutumia akili zetu wenyewe kuamua mustakabali wetu.

Ushoga na huu uhuni mitandaoni ulishafikia pabaya na jamii kama ilishaanza kuzoea na kuchukulia kawaida.
Ila we jamaa Amba Ruti hajafanya ushoga wowote ule...
 
Kwako Mshana Jr. Nimesoma bandiko lako kwa umakini sana,,ulichoandika kina sound ya ukweli kabisa. Lakini je? Wajua kua Tanzania kwa sasa kuna vizazi vya aina mbili ngaaje wamebakia wachache sana wa 1920 to 1950. But majority ni 1950's to date.
Kizazi cha 1950's to 1980s kilikua ni kizazi ambacho mtoto wa jirani ni mwanao pia. Akileta ujinga unatandika fimbo za maana na akirudi kwao kwa baba ake na mama anatandikwa vizuri kwa kutenda kosa husika. Na heshima ilikua katika kiwango cha juu sana. Na ilikua ukiwa mtukutu tu jamii inakutenga ili uishi kama gendayeka.
Sasa kuna hiki kizazi cha 1990's to date..yaani 2018..ukitaka udharirike na pengine hata ufungwe mchape mtoto wa jirani yako. Ukitaka mitusi mseme mtoto wa jirani yako kwa tendo lolote ovu afanyalo. Hiki ni kizazi cha mtoto wangu ni wangu wewe hakuhusu kwa lolote kwani unamlisha au kumvalisha wewe?
Kizazi ambacho wenyewe wanaita kuwalea watoto kizungu, yaani mtoto afanye atakacho yeye bila kupingwa.
Sasa sio rahisi kumkemea mtoto asie wako na bahati mbaya mtoto akimzidi nguvu mzazi basiiii kapotea maana jamii haina mamlaka juu ya mtoto asiokua wao.
Sasa kwa issue ya huyo sijui Amber rutt ulitaka nani akemee? Ni ngumu sana maana wao wana msemo wao...kanishindwa baba na mama angu sembuse wewe!!
Mkuu waache wafanye watakavyo watajijua wenyewe.
Kwahiyo hiyo miaka ya 1950 ambako watoto walichapwa na kijiji hakukuwepo ushoga?

Unafahamu adhabu ya "sodoma na gomora"? Assume you are a christian.

Toka karne ya kwanza ushoga ulikuwepo. Sisi kinachotukosti ni unafiki uliobobea. I will stick with my point!

Na unafiki ndiyo unaosababisha hii "none issue", inakuwa "a major issue" kuliko hata umasikini tulio nao, magonjwa na ujinga uliotopea.
 
Kwahiyo hiyo miaka ya 1950 ambako watoto walichapwa na kijiji hakukuwepo ushoga?

Unafahamu adhabu ya "sodoma na gomora"? Assume you are a christian.

Toka karne ya kwanza ushoga ulikuwepo. Sisi kinachotukosti ni unafiki uliobobea. I will stick with my point!

Na unafiki ndiyo unaosbabaisha hii "none issue", inakuwa "a major issue" kuliko hata umasikini tulio nao, magonjwa na ujinga uliotopea.
Mkuu ukisoma bandiko langu hakuna sehemu ambayo nimegusia hata kwa mbali neno ushoga, nimeongelea swala la kumkemea mtoto ambae sio wako hasa kutokana na mkuu Mshana kusema hakuna mtu aliethubutu kumkemea huyo binti rutti sijui. Dhambi zipo tokea dunia iumbwe lakini hiyo isikufanye uone kua dhambi au matendo machafu ni kitu cha kawaida eti sababu tu mbona babu zako walifanya.
 
Utakuwa hujanielewa vilevile.

Lack of wisdom is our demise.

Mimi nasema "culture" yetu ime "entail" unafiki na ujinga.

Sijasema matendo machafu ni kitu cha kawaida kwasababu mababu walifanya, ila unafiki wetu wa kujidai kwamba hayo matendo machafu ndo yamenza leo. Na kwahiyo namna yanavyozungumziwa, ni kama vile ni janga geni kabisa, na ndiyo maana na wewe ukaja na bandiko lako la kusema haya matendo yamechangiwa na kutokufuata style ya malezi ya kijiji. Kwamba mtoto wako ni wa kijiji.

Juzi kati, kulikuwepo na picha ya yule James delicious yuko na Bashite, nyingine Makamba January, na nyingine Nape Nnauye. Wote walipiga naye picha mabzo zilisambaa mitandanoni nk

Sasa labda tuzungumzie hoja ya kwamba viongozi wetu ni role models, hapo tayari kupiga picha na yule shoga, ni kuuweka ushoga hadharani kama ni jambo la kawaida, na vijana hawawezi kuona ni jambo baya kama kuna viongozi wanaonekana wazi wakiwa wamepiga nao picha. Leo hii ujitie kuleta kampeni ya kuwatenga na sijui kusema hivi ama vile.Si unafiki?

Yani unafiki na ujinga ni utamaduni pendwa sana tuu bongo.
 
Kwa mtazamo wako haya mambo ilitakiwa tuyakemee kipindi gani?au ulitazamia nani alianzishe hili?

Kwa kifupi hao watu wamekua wakipigiwa kelele mara kibao sema hawakukiki.hao viongozi kupiga picha na huyo ***** walitukanwa sana labda wewe kuna watu ulitaka kuwasikia.

Machoko wanapigwa vita sana hata mtaaan.na machoko hawana story na wanaume mitaani huku.wanapiga story na wanawake kwakua wanaume tunawanyanyapaaa.
 
Tumejiingiza mkenge ambapo sasa inabidi hadi kiongozi ajitokeze na kusema mambo ambayo ni kinyume na tunavyoamini na hata utamaduni wetu. Busara ya namna ya kuhandle ndo ilikosekana.

Kwani wao kina Bashite kupigiwa kelele ndiko kunakowafanya wawe sahihi? Ama hujaona pointi yangu ya kuhusu unafiki wetu? Kwahiyo baada ya kupigiwa kelele ndo unafiki wao hauko tena? Eti "walitukanwa sana labda mimi ndiyo sijawasikia", so? And then unasema "labda wewe kuna watu ulitaka kuwasikia", what is your point here? Watu gani hao unaodhani kuwa ndiyo nilitaka kuwasikia?

Hata sijui kama tunaelewana hapa.
 
"Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana...."

Hiki umeakikisha vipi kuwa alijifanya ?
 
Tumejiingiza mkenge ambapo sasa inabidi hadi kiongozi ajitokeze na kusema mambo ambayo ni kinyume na tunavyoamini na hata utamaduni wetu. Busara ya namna ya kuhandle ndo ilikosekana.

Kwani wao kina Bashite kupigiwa kelele ndiko kunakowafanya wawe sahihi? Ama hujaona pointi yangu ya kuhusu unafiki wetu? Kwahiyo baada ya kupigiwa kelele ndo unafiki wao hauko tena? Eti "walitukanwa sana labda mimi ndiyo sijawasikia", so? And then unasema "labda wewe kuna watu ulitaka kuwasikia", what is your point here? Watu gani hao unaodhani kuwa ndiyo nilitaka kuwasikia?

Hata sijui kama tunaelewana hapa.
hatueleani
 
hatueleani
Kwasababu kuna baadhi ya maneno yako hayan nia njema ya kutaka kuelewa.

Mfano uliposema kuwa kina Bashite siyo wanafiki tena kwasababu walishatukanwa, na kwamba labda nilitaka kusikia wegine wakisema.

Hilo tayari inaonyesha unatetea ujinga wao. Hapo hatutaweza kuelewana mkuu.
 
Safi sana kamanda. Tunapaswa kutumia akili zetu wenyewe kuamua mustakabali wetu.

Ushoga na huu uhuni mitandaoni ulishafikia pabaya na jamii kama ilishaanza kuzoea na kuchukulia kawaida.
Ifike time tuone reality kuliko kuongozwa na hisia tu.malezi ya familia ndiyo mpango mzima.
 
Back
Top Bottom