Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

hapa Gaijin na BAK wangeipotezea basi huu uzi usingefika huku lol!

Khaa! Bishosti unatushuhudia uongo. Sisi tulikuwa tunaiangalia situation katika mandhari ya jumuiya kimataifa; hili suala ni common or an isolated case

Before you came into my life I missed you so bad

I missed you so so bad

Before you came into my life I missed you so bad

And you should know that

Its hard to look right, at you baby

But here's my number, so call me maybe

*Mwaka ujao ni mwaka wa nyoka, kila mmoja ajipange sawa sawa....Sumu inauwa
 
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

mtumeeeee....
 
Unajua ticha gfsonwin kwenye ile thread ya kukojoleshwa ulifunguka vibbbbbaaaya, hata mimi nilitamani nikupate...!
 
vijana mnajilipua tu!
Unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona?
Kwenye mitandao kiza kama Jf hio ni kawaida. Inashangaza watu wanapendana kwa Avatars, ilhali avatar nyingi si picha halisi za wahusika.
 
Mhhhh! LOL! snowhite 🙂🙂 BAK mambo haya hufanya kivyake vyake mambo ya kumshukia mtu hapa jamvini nomaaa afadhali hata miaka ileeee ambapo umma wa JF ulikuwa hata haufikii wanachama 2,000 siku hizi kuna kadamnasi. Nilimpigia rafiki yangu gfsonwin kumjulia hali anaendeleaje akaniambia "BAK maconfo yote yamekimbia AIBU mtindo mmoja." nikamuuliza aibu ya nini sana wakati mtu kakuzimikia? Nikamuomba asilikimbie jamvi amenihakikishia hatalikimbia jamvi.

Huyo njemba mwambie asikae kifuani kwa masaa chungu nzima na kukusababisha ufanye zoezi la kukalia beseni la maji baridi ili kupoza nanihii lol! atamaliza UTAMU wote halafu aanze kulalama, "Mama nanihii hii kitu utamu umepungua sana siyo kama zamani, ni aje?" hahahahah lol!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ngu-haniridhishi-ni-tatizo-langu-au-lake.html

Nakuomba unifikishie salam zangu za heri na baraka na mafanikio tele katika mwaka mpya wa 2013 kwa dada yako FP nasikia leo anapika pilau la sikukuu la kukata na shoka. Nadhani alinipa card ya mualiko lakini hata sijui nimeiweka wapi lol!

Haya kila la heri na baraka na mafaniko tele katika mwaka mpya wa 2013.

QUOTE=snowhite;5345491]BAK na we funguka hukoo!sio kubaki na la kijiba cha roho !oh!mwaka waisha huo!ILA NIMEKUMISS SANA RAFIKI YANGU![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! LOL! snowhite 🙂🙂 BAK mambo haya hufanya kivyake vyake mambo ya kumshukia mtu hapa jamvini nomaaa afadhali hata miaka ileeee ambapo umma wa JF ulikuwa hata haufikii wanachama 2,000 siku hizi kuna kadamnasi. Nilimpigia rafiki yangu gfsonwin kumjulia hali anaendeleaje akaniambia "BAK maconfo yote yamekimbia AIBU mtindo mmoja." nikamuuliza aibu ya nini sana wakati mtu kakuzimikia? Nikamuomba asilikimbie jamvi amenihakikishia hatalikimbia jamvi.

Huyo njemba mwambie asikae kifuani kwa masaa chungu nzima na kukusababisha ufanye zoezi la kukalia beseni la maji baridi ili kupoza nanihii lol! atamaliza UTAMU wote halafu aanze kulalama, "Mama nanihii hii kitu utamu umepungua sana siyo kama zamani, ni aje?" hahahahah lol!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ngu-haniridhishi-ni-tatizo-langu-au-lake.html

Nakuomba unifikishie salam zangu za heri na baraka na mafanikio tele katika mwaka mpya wa 2013 kwa dada yako FP nasikia leo anapika pilau la sikukuu la kukata na shoka. Nadhani alinipa card ya mualiko lakini hata sijui nimeiweka wapi lol!

Haya kila la heri na baraka na mafaniko tele katika mwaka mpya wa 2013.

rafiki ni vizuri Billie katoa dukuduku lake kwa rafiki yangu gfsonwin..... si vizuri kuingia na donge mwaka mwingine, lol! ila na utu uzima huu kutokewa sijui tunaonaje! kaazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nawaangalia tu, mie sihusi na Lara 1, kwani Lara 1 ni sawa na bibi yangu na pia hata Ciello ni sawa na mama yangu. Sihusiki nao me nipo tanga nimepewa mke. "
boraaaaaaaaaaaaa, afadhali manake naona ana kazi ya kunijazia inzi hapa
haya Ciello njoo ujibu wewe na lara 1 nani alifanikiwa kwa manoah??

halafu Majigo hujui tu walipitishaga hapa mtongozo wa wazi kwa mwanaume wa kimachame lol! Prisoner 46664 tuliwapigia kura halafu majibu hawajatuletea leo mbane mpaka akwambie nani alishinda tena hadi Suprise nae alishiriki lol! tuambien majibu nani alishinda dau??
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nawaangalia tu, mie sihusiani na Lara 1, kwani Lara 1 ni sawa na bibi yangu na pia hata Ciello ni sawa na mama yangu. Sihusiki nao me nipo tanga nimepewa mke. "
boraaaaaaaaaaaaa, afadhali manake naona ana kazi ya kunijazia inzi hapa
haya Ciello njoo ujibu wewe na lara 1 nani alifanikiwa kwa manoah??

halafu Majigo hujui tu walipitishaga hapa mtongozo wa wazi kwa mwanaume wa kimachame lol! Prisoner 46664 tuliwapigia kura halafu majibu hawajatuletea leo mbane mpaka akwambie nani alishinda tena hadi Suprise nae alishiriki lol! tuambien majibu nani alishinda dau??
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnielewe jamani, sihusiani na yeyote hapo, maana Ciello ni sawa na mama yangu na Lara 1 ni sawa na bibi yangu. Pls msinivunjie heshima kwa walezi wangu. Leo usiku natimiza miaka 17 huoni kama wangekua wananibaka jamani.
CIELLO Ile Mishe Yako LARA 1 Na MANOAH Iliishaje?
 
hahahahah ticha ametishaaaa..... gfsonwin mwonee huruma mwana wa mwenzio kajikaza kisabuni ujue....kujilipua hivi hadharani si kazi ndogo!!!

Ciello mbona na wewe yako yaja. Hujajua tu. Mtakatifu nimefunga huku nikiomba kwa siku 40. Naamini itakuwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Billie; gfsonwin ni Mbebs wa Ukweeeli ila ni wife wa Mutu ya Pesa Mingi; Mutu ya Watu; Mutu inayosaidia Watu!

Ukitaka kumwona inabidi uzidishe maombi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom