Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Billie relax kuna kitu cha white party we uzuke tu utaonana na ticha.
Tena jipangilie kisawasawa

tats ma gal................
kila mtu anayetaka kumwona mwl gfsonwin aje kwenye ii makitu atanikuta nipo nimejaaaaaaaaaaaaaa tele lol!
patapendezaje sasa??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kama Hiki Chuma Hakina Mwenyewe Tafadhari!! Naomba Ukamatie Na Ukiweke Ndani kwani Ni Bonge Moja La Mtu Ninae Mwaminia
Hana Makuu,Mstaarabu Vilevile Ni Mwelewa...Sijui Nimwelezeje Kwa Kweli
Ila Naomba Ufanye Kweli Sio Unaishia Kupayuka Tu Hapa Bila Maana Yoyote!

Mapatano Mema Huko Kwenye PM!

mkuu majingo, asante kwa nice compliments...................
btw siko single bana nimeolewa miaka 11 iliyopita jaman adi nishazeeka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Thats byutful...dazain inaitia huruma!..daah dats hw love z!..ongera kwa kufunguka tena hadharan!..wengne 2ngekufa na ye2 moyon!...let me pray 4 u!..op bidada ataelewa2

asante kwa kuwa pamoja kwenye kilio changu.
 
huyoo humuwezi. kwanza mie na yeye ni paka na chui
manoah ya kweli haya??
hebu niambaie kwanza tuli-collide wapi?? yumkini kwenye yale mambo ya kuwaabuse wanawake sio??
 
Last edited by a moderator:
mkuu majingo, asante kwa nice compliments...................
btw siko single bana nimeolewa miaka 11 iliyopita jaman adi nishazeeka sasa.

kuzeeka kitu gani bana? yy hajari hizo age nambaz..... mwelewe mtu mzima mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
mwali mbona kama unabembeleza !ndo yametokeamo haya nikiwa sipo humu karibu saa nzima !uuuwih! Bazazi ulikuwa wapi?

Bazazi ni oportunisty, hivyo alikuwa anatanga na njia snowhite ila yupo sana.

Ujue Billie mtata tu hana lolote anajaribu kuupiga konzi Mkuki!

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kama Hiki Chuma Hakina Mwenyewe Tafadhari!! Naomba Ukamatie Na Ukiweke Ndani kwani Ni Bonge Moja La Mtu Ninae Mwaminia
Hana Makuu,Mstaarabu Vilevile Ni Mwelewa...Sijui Nimwelezeje Kwa Kweli
Ila Naomba Ufanye Kweli Sio Unaishia Kupayuka Tu Hapa Bila Maana Yoyote!

Mapatano Mema Huko Kwenye PM!

mi sio mwehu hatua zote nimeshafanya huko PM
 
Bazazi kwani nimekukosea nin? What i wrote i mean it.
Billie! Mbona sijakukosea kabisa bana.
Nimesema wewe mtata tu.
Na qa qeli humaaanishi ulichoandika.
Lakini qanini usifungue macho uone milango mingine iliyofunguka.
Mlango wa @gfsonwin! umefungwa lakini wa Evelyn Salt umefunguka.
Qanini uende usikotakiwa Bana.


Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

umeshindwa kumtongoza tukusaidie mkuu?
 
Dah mwana-Yanga mwenzangu gfsonwin sijui na mimi nakupenda kama hivyo,ngoja na mimi nikutokee tena nyumbani mbele ya shemeji nisema yangu..............ha ha ha ha ha.Heri ya mwaka mpya mwalimu gfsonwin na familia pia.
 
Back
Top Bottom