Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

usijali jamani we utaona bandiko tu limeweka mambo yakiwa tayari.
Hiyo ni kwa wanajf wote watakaohudhuria

wambie kabisaaa waelewe lol!
manake naona watu wanataka personal contacts wakati mabandiko hapa jf huwa tunayatupa waziwazi lolest!
 
Kwani hukusoma nilichoandika au umetumwa uje unichafulie siku.

Mkuu mbona Unaonekana Kubadirika Tofauti Na Mwanzo Au Kutolewa Nje Kumekuchanganya?
Pole Sana Mkuu!!
 
hahahah tichaaaa bado unamzungusha kijana wa watu ka kigoli wa sitimbi??/ mjibu mwenzio bana.....

hivi Ciello bado tu ujalewa hizo dompo??
njoo nikushidilie chapati za mandondo ukaishie kujamba tu manake naona leo umeniamulia lol!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

Aisee, this is very serious.

hivi Ciello bado tu ujalewa hizo dompo??
njoo nikushidilie chapati za mandondo ukaishie kujamba tu manake naona leo umeniamulia lol!

mwambie Ciello aachane na dompo miguu hiyo namwonea huruma awe ana kunywa Safari Lager atapata faida kuu 3
 
Last edited by a moderator:
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

Brother Billie, Reeeeeeeeeelax!!

She heard, She is there, She is Matured, She belongs to People, She is talented, She is "The woman of her own Kingdom, She has an Altruism (the spirit of loving everyone)....gfsonwin.....above all, She is...............
 
CIELLO Ile Mishe Yako LARA 1 Na MANOAH Iliishaje?
boraaaaaaaaaaaaa, afadhali manake naona ana kazi ya kunijazia inzi hapa
haya Ciello njoo ujibu wewe na lara 1 nani alifanikiwa kwa manoah??

halafu Majigo hujui tu walipitishaga hapa mtongozo wa wazi kwa mwanaume wa kimachame lol! Prisoner 46664 tuliwapigia kura halafu majibu hawajatuletea leo mbane mpaka akwambie nani alishinda tena hadi Suprise nae alishiriki lol! tuambien majibu nani alishinda dau??
 
Last edited by a moderator:
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA COMMENTS ZAKE AU POSTS HUWA ZINANIVUTIA SANA ISITOSHE KICHWANI MWANGU NIMEMPA PICHA YA JINSI YE ALIVYO KWA MSAADA WA AVATAR YAKE BASI NDO NAZIDI KUPAGAWA.NimeshamPM kuhusu kuweweseka kwangu ila kanijibu jibu rahisi ambalo likanipumbaza nikajikuta sina la kuendeleza maongezi(analijua hili).Kwa kweli nampenda sana huyu ticha naombeni mniombee hata nafasi ya kumuona ili nifurahi jamani.I real love her kwa kweli hata ye analijua hili japokuwa ananilazimisha nimuite dada.
Dhumuni langu sio kukufedhehesha kwa kuandika hisia zangu hadharani bali nimeelemewa na pendo langu kwako na hata hivyo sikutaka nipite mwaka 2013 bila kuachia hisia hizi,Nimekuwa narandaranda kwenye majukwaa ya humu jf kutafuta comments zako.Pindi nikutanapo na comments,posts zako huwa naona kama nimekuona wewe dia gfsonwin.
Plz iwapo una mume au boyfriend naomba unipe offer hata ya kukuona tu au namba yako ya simu ili nipate balance moyoni mwangu.
Nawaarika wana jamvi kunibembelezea huyu ticha NAMPENDA SANA.
Wenu katika ujenzi wa MMU na taifa kwa ujumla.

Mitamaa iii
Very job true true
 
Last edited by a moderator:
Majigo wewe u mgomvi................

Hahahah
Lazima Niulize,Maana Kijana Alianza Kwa Majibu Yenye Busara Sana Lakin Dk Za Mwisho Kabadirika Ghafla!
Mapinduzi Aliyotaka Kuyafanya Huko PM Bila Shaka hayajatoa Matokeo Mazuri!
Pole Kwake!
 
Last edited by a moderator:
Brother Billie, Reeeeeeeeeelax!!

She heard, She is there, She is Matured, She belongs to People, She is talented, She is "The woman of her own Kingdom, She has an Altruism (the spirit of loving everyone)....gfsonwin.....above all, She is...............
thanks Thanda am dearly humbled...............dah!
happy new yr greetings to Thando.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom