Thanda
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,915
- 596
piga za usoni nisikie maana wewe Mwanamalundi kiboko kwa za uso
Umkhonto we Sizwe (Spear of the Nation)

halafu wewe nani kakwambia uje huku??Aisee, this is very serious.
usijali jamani we utaona bandiko tu limeweka mambo yakiwa tayari.
Hiyo ni kwa wanajf wote watakaohudhuria
halafu wewe nani kakwambia uje huku??
hahahah safari zinaleta kitambi....dompo ndo mpango mzima!!!
Umkhonto we Sizwe (Spear of the Nation)
Aisee, this is very serious.
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.
My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.
Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.
Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.
naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.
CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise
Kheri ya kitambi kuliko kuvimba miguu na umri mdogo huo au kidogo kidogo piga kiloba

alokwambia miye mdogo nani??/ am in my late 50's....
aaah! mtoto un mbwembwe lol!
sifa za mwl ni izi apa
mlezi mzuri sana wa familia na watt
ana muda mwing sana wa kufanya na kusmamia kazi za nyumbani
ana muda wa kuwafundisha watt
ana jua saikolojia ya malezi na asindwi kukaa na ndugu aata uyo ndugu awe habebeki kama gunia la misumari
ana eshima sana kwa mumewe na hapendi kuikosa ndoa yake.
hana makuu
ni mwingi wa busara/hekima
mwepesi wa kusamee
ana moyo wa kimama zaid
ni mchumi mzuri sana na mafuaji pia
kwake yey familia mbele maisha mengine hufwata snowhite endelea...................
Mimi nipo kotekote.