Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

Nilikuwa nimesubiri sana hii response yako!!! Kupendwa ni kawaida, ku-yield ni kitu kingine
 
vijana mnajilipua tu!
Unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona? Ukikuta ana jicho moja,jino moja bila ulimi utafanyaje?

Pia si keshakujibu huko kwenye pm? Unataka kumng'ang'aniza?

Halafu gfsonwin alishapendwa siku nyingi na mumewe! Imeandikwa ndoa na iheshimiwe na watu wote, heshimu ndoa yake
unampendaje mtu usiyewahi kumuona? naamini una mpenda Mungu je Umeshawahi kumuona...mapenzi ni hisia jombaa so kilakitu kinawezekana tu....sio lazima uone then upende unaweza feel na ukapenda its all about the feelings man..ova
 
unampendaje mtu usiyewahi kumuona? naamini una mpenda Mungu je Umeshawahi kumuona...mapenzi ni hisia jombaa so kilakitu kinawezekana tu....sio lazima uone then upende unaweza feel na ukapenda its all about the feelings man..ova

Chukua bonge la "LIKE"
 
thanks Billie, nakutakia uwe na mwaka wenye furaha na mafanikio kwa kila uchwao. MUngu akutangulie kila Iitwapo leo na awe kinga na kigao kwako.

Barikiwa sana mdogo wangu wa moyoni.

always sis loves you dear!!
Bado unaendelea kumrusha Billie!! Anaumia kijana wa watu.
 
Back
Top Bottom