Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

JF kiboko!

watu wanadondosha mioyo juu kwa juu.

btw, niwatakie wote heri ya mwaka mpya, machukizo ya 2012 yabaki huko huko, memo ya 2012 mwende nayo 2013.

wakatabahu

Mhhh!! i hope umemaanisha Mema na siyo memo...
 
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

watu wengi hupenda kuoa walim ila hawapend kuolewa na walim
 
watu wengi hupenda kuoa walim ila hawapend kuolewa na walim
sifa za mwl ni izi apa
mlezi mzuri sana wa familia na watt
ana muda mwing sana wa kufanya na kusmamia kazi za nyumbani
ana muda wa kuwafundisha watt
ana jua saikolojia ya malezi na asindwi kukaa na ndugu aata uyo ndugu awe habebeki kama gunia la misumari
ana eshima sana kwa mumewe na hapendi kuikosa ndoa yake.
hana makuu
ni mwingi wa busara/hekima
mwepesi wa kusamee
ana moyo wa kimama zaid
ni mchumi mzuri sana na mafuaji pia
kwake yey familia mbele maisha mengine hufwata snowhite endelea...................
 
Last edited by a moderator:

Mungu anijalie na mm nioe mwanamke mwalimu
 
hahahhahahahaaa,,,,una maanisha mwalim wa ngazi ya cheti,diploma festi digrii au mastarz,?
na hapa umebase kwenye sifa za mwalim wa kike hebu NIPASULIE ZETU WALIM WA KIUME
 
Last edited by a moderator:
:behindsofa: hahaha nimerudia tena na tena mwalimu huna kastaff member ambako kapo loose loose kanifundishe stadi za kazi
hahahaha@ sasa my bro Billie umeniletea sooo humu...............
haya tazama haya sasa mie naanzia wapi??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom