Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Dogo usife kihoro, namba yake hii hapa 0751140000 ila uanze na +255.

Ukikumbana na mume wake mie simo, jipange kutafutwa na kusurubiwa.
 
Nilikua nawaangalia tu, mie sihusi na Lara 1, kwani Lara 1 ni sawa na bibi yangu na pia hata Ciello ni sawa na mama yangu. Sihusiki nao me nipo tanga nimepewa mke. "

hahahah! kijana naona sizitaki mbichi hizi
 
mwali acha tu manake sijui hata pakuuweka uso wangu. mmh! kutongozwa laivu sebulen??
aaaah! usijali rafiki.... alikuwa anaelezea tu hisia zake, sidhani kama alitegemea jibu la YES, kwa hiyo usikonde wala nini rafiki yangu
 
Khaa! Bishosti unatushuhudia uongo. Sisi tulikuwa tunaiangalia situation katika mandhari ya jumuiya kimataifa; hili suala ni common or an isolated case

Before you came into my life I missed you so bad

I missed you so so bad

Before you came into my life I missed you so bad

And you should know that


Its hard to look right, at you baby

But here's my number, so call me maybe

*Mwaka ujao ni mwaka wa nyoka, kila mmoja ajipange sawa sawa....Sumu inauwa
Gaijin sikuwez na mwaka wa nyoka lol!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na wewe ni mama wangu, nataka kunyonya mama ni na njaa kweli, alafu msalimie mama mdogo ( Ciello ) naona siku izi ana nikaushia pia bibi wangu muambie nikitoka huku nilipo nita mletea doti moja ya kanga ( lara 1 )
na wewe pia mwangu, hongera sana kwa kutimiza miaka 17.
 
Kumbe na wewe ni mama wangu, nataka kunyonya mama ni na njaa kweli, alafu msalimie mama mdogo ( Ciello ) naona siku izi ana nikaushia pia bibi wangu muambie nikitoka huku nilipo nita mletea doti moja ya kanga ( lara 1 )
dunia ina mambo hasa wewe mtt unajua kununua doti ya khanga wataka kunyonya tena??
 
Sasa si nina kiu ya manyonyo mama angu jamani.. Tena ujumbe wa izo kanga uko ivi ( niachieni wangu wenu kawa shindwa, hata kwa mganga ng'o hamu mpati )
dunia ina mambo hasa wewe mtt unajua kununua doti ya khanga wataka kunyonya tena??
 
he,hivi kumbe bado kuna watu wanapenda siku hizi??mi nilisha acha kupenda long tyme,siku hizi naheshimu tu
 
Back
Top Bottom