Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Mi nipo mbona nimeelemewa na penzi zito hadi nashindwa kureply comments zenu.Ila nashukuru kwa msaada wenu.

usijali braza naona dada kashaanza kulaika! si unaona, kila comment yako anajaribu kuijibu na inayokuhusu anabofyaa Like. Endelea kuomba naamini mwaka huu mpya utashinda.
 
Swadkataaa.Na mimi nakuunga miguu yote na mikono pia..Ulichosema ni kweli na haki na hakika.
Asante kwakunipa nakuniunga miguu yako!ila jamaa kama yupo serious basi itabidi atafute namna nyingine kwani ninachokijua gfsonwin yupo full loaded!sasa sijui labda akwangue amri ya sita na huko anapokaa atayarishe nauli maana fast jet aziendi huko!Na awetayari kukabiriana na vikwazo vya michael scofield wa prison break maelezo zaidi kwa Madame B
 
Last edited by a moderator:

Mapenzi nayo ni ugonjwa...lakn gfsonwin alishakataa mambo ya 4some....Sasa nadhani tuendelee kumpa kanseling huyu Billie ataelewa tu..Nakuaminia kwa kazi hiyo najua utamuweka sawa kijana...
 
Duuh kweli mkuu Billie kweli hujiwezi yaani nina uhakika dada gfsonwin akikupa hata kufuli lake lazima uligonge kama si kulibuthu!...
 
Last edited by a moderator:
kweli we domo zege tena zege haswa! acha utimbulo wewe demu mwnyw hapo kashakuzarau anakuona boya kuja kumtangazia huku unamvimbisha kichwa bure. ----- mtozeni huyo.....
 
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

Sister mimi nakukubali sana kwa jinsi unavyojua kuivuta hadhira katika thread zako. Hata hapa nikiangalia kwa jinsi ulivyo pangilia mistari, yaani ni dhahiri kabisa kama wewe ni mwalimu basi hii taaluma hujakosea kabisa kuichagua......aisee naomba nikwambie kipaji unacho sister na nina hakika hata hao wanafunzi wako watakuwa wanakukubali sana.......Hongera sana sister.......keep it up.
 
asante sana mkuu, am humbled!
 
he,hivi kumbe bado kuna watu wanapenda siku hizi??mi nilisha acha kupenda long tyme,siku hizi naheshimu tu

Tena anampenda hata bila kumuona siku hizi ni mwendo wa kutamaniana kwisha maneno yote
 
Mkuu BILLIE!! Basi Kama Sera Zimekataliwa, Haina Umuhimu Wa Uzi Kuendelea Kuwepo..Bora Ufutwe Tu!
 
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

No wonder kapagawa! Ur something! Your husband is very lucky to have you!
 
Jamani nawashukuru kwa kushiriki katika post yangu pia namshukuru gfsonwin kwa busara zake hadi kunifanya niwe balanced kwenye huu mwaka mpya.SO SWALA LETU TUNALISHUGHURIKIA KATIKA HALI YA AMANI.MUNGU AWABARIKI KWENYE HUU MWAKA MPYA.
Happy new year all of you.
 
thanks Billie, nakutakia uwe na mwaka wenye furaha na mafanikio kwa kila uchwao. MUngu akutangulie kila Iitwapo leo na awe kinga na kigao kwako.

Barikiwa sana mdogo wangu wa moyoni.

always sis loves you dear!!
 
Ujumbe atakuwa ameupa hakika atakutafuta
 
Hatimaye thread yafungwa duh! Ila hii ilikua ya kufungia mwaka ktk jukwaa hili.
 
haya Billie,umeyataka mwenyewe ushapigwa za uso,kapumzike!mwenzako zamani nilikuwa nampenda Toni BRAXTON yule wa marekani kiukweli kabisa,nikajiona mi mjinga kumpenda mtu ambaye uwezekano wa kuwa naye ni kama haupo!

haya sasa jione mjinga ili uokoke

by the way just be happy...umempenda umemwambia unampenda naye kakuambia anakupenda!imetosha,kwani unataka zaidi?chakula ya mumewe hupati ng'oo!happy new year
 
By Billie Jamani nawashukuru kwa kushiriki katika post yangu pia namshukuru gfsonwin kwa busara zake hadi kunifanya niwe balanced kwenye huu mwaka mpya.SO SWALA LETU TUNALISHUGHURIKIA KATIKA HALI YA AMANI.MUNGU AWABARIKI KWENYE HUU MWAKA MPYA.
Happy new year all of you.

thanks Billie, nakutakia uwe na mwaka wenye furaha na mafanikio kwa kila uchwao. MUngu akutangulie kila Iitwapo leo na awe kinga na kigao kwako.

Barikiwa sana mdogo wangu wa moyoni.

always sis loves you dear!!

NYINYI,MBONA MKO KAMA MMEANZA KUPENDANA??????lol!nawatakia kila heri
 
Back
Top Bottom