Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Hivi unajua kama watu wengi wapo kwenye uhusiano lakini sio kama dream wife/husband zao.Kwa kifupi ni kuwa kuna kulazimika kwa kuwa umri unaenda at the same time hatokei mpenzi wa sifa mtu azitakazo.

Waoh; so you think gfsonwin hayuko kwa dreamy huzzie wake na wewe ndio her dreamy or right man wake right?

Kwakuwa amekuweka kwenye kundi fulani; stop chocking her (utamscare) but befriend her na huenda mkawa best friend, what do you think?
 
nimekuja jamani mwambie Billie nashkutu sana kwa kunipenda lol!
Usemapo NASHKUTU, unamaanisha nini bibiee!? Au unamaanisha kushtuka au kushukuru kwa kupendwa? Huoni unazidi kumpagawisha huyu Billie!!?
 
Last edited by a moderator:
mwaJ unajua nimekumisije au na mi mpka nikutongoze ndi utanielewa!MISS YU SO MUCH dear! Kaunga mchungaji mwenza mimi miss yu sana mpenzi wangu!MNO!

Hata mie nimekumiss pia my dearest snowhite. Nipo hapa nafurahia kumsoma Billie alivyoamua ku-go public kuhusu anavyompenda gfsonwin. Billie hayupo peke yake, yeye kamzimikia kimapenzi lakini sie wengine tunampenda sana pia gfsonwin kwa mafundisho yake na ushauri anaoutoa bila kubagua.

Btw, kuna madarasa kadhaa ya yule mwalimu wetu nilikuita weee, wala sijakuona nadhani uliamua kukacha vipindi.
 
Last edited by a moderator:
mpende kiukweli hata ukimkuta ni mlemavu usibadilishe uamuzi,mm nafikiri umevuta hisia kwamba inawezekana ni mrembo sana machoni,plz nakuonya kama una nia naye uwe tayari kwa lolote utakalokuta kwake,badae usijetusumbua tena humu
 
mwaJ unajua nimekumisije au na mi mpka nikutongoze ndi utanielewa!MISS YU SO MUCH dear! Kaunga mchungaji mwenza mimi miss yu sana mpenzi wangu!MNO!

Usipotee sana bwana; it is less sweet here without you!
Eeh, tuambie na wewe who are your secret admires ili siku wakiGO public tusishtuke sana. LOL
 
Last edited by a moderator:
Usemapo NASHKUTU, unamaanisha nini bibiee!? Au unamaanisha kushtuka au kushukuru kwa kupendwa? Huoni unazidi kumpagawisha huyu Billie!!?

ahahhahahahhahhahahhaha chezeya mtongozo wa wazi wazi hivi
mwalimu gfsonwin kachapia mchezo!
kaona ngoja ajikimbilie tuu!
 
Last edited by a moderator:
Usipotee sana bwana; it is less sweet here without you!
Eeh, tuambie na wewe who are your secret admires ili siku wakiGO public tusishtuke sana. LOL

ashshshhshshhs usiwambie watu! hasa Blaine
ahhahahahhahahhahhaha mwaya mi hata sina secret admirer wote washakaji tuuu!
mtu kufunguka hivi si mchezo ujue!
ila watu wana kazi jamani lol!
hapo avatar na comments tu kadata namna hii akimuona mwenyewe si ndo ataomba uzinduzi wa tamko pale mnazi mmoja!lol!
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nimekumiss pia my dearest snowhite. Nipo hapa nafurahia kumsoma Billie alivyoamua ku-go public kuhusu anavyompenda gfsonwin. Billie hayupo peke yake, yeye kamzimikia kimapenzi lakini sie wengine tunampenda sana pia gfsonwin kwa mafundisho yake na ushauri anaoutoa bila kubagua.

Btw, kuna madarasa kadhaa ya yule mwalimu wetu nilikuita weee, wala sijakuona nadhani uliamua kukacha vipindi.
mwaya !we acha tu!
nilipo huku sina ujanja wa vipindi vya mwalimu wetu!
naingia jamivini mara moja moja!
nimewamiss mfano hamna lol!
 
hahahahah ticha ametishaaaa..... gfsonwin mwonee huruma mwana wa mwenzio kajikaza kisabuni ujue....kujilipua hivi hadharani si kazi ndogo!!!
ashshshhshshhs usiwambie watu! hasa Blaine
ahhahahahhahahhahhaha mwaya mi hata sina secret admirer wote washakaji tuuu!
mtu kufunguka hivi si mchezo ujue!
ila watu wana kazi jamani lol!
hapo avatar na comments tu kadata namna hii akimuona mwenyewe si ndo ataomba uzinduzi wa tamko pale mnazi mmoja!lol!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah ticha ametishaaaa..... gfsonwin mwonee huruma mwana wa mwenzio kajikaza kisabuni ujue....kujilipua hivi hadharani si kazi ndogo!!!

mwenzangu we acha tu!
akimwona kungwi wangu mi nakwambia tutaitwa kwenye uzinduzi anatorglu we subiri tu!mi kama kawaida yangu naanda sare kabisa!this time around tuvae vikaptura na vikoti vya kitenge!
ndani top ya purple na simple za green apple ,sawa?
 
sawaaaaaaaaaaaaaaaaa....hahahahahahahahahaha
mwenzangu we acha tu!
akimwona kungwi wangu mi nakwambia tutaitwa kwenye uzinduzi anatorglu we subiri tu!mi kama kawaida yangu naanda sare kabisa!this time around tuvae vikaptura na vikoti vya kitenge!
ndani top ya purple na simple za green apple ,sawa?
 
ahahahahhahahhahahahhahahhahahah
chezeya habar ya mfonzo!
mambo ya kuelezea mfededdo wazi wazi pata ona bado!
ahahahahahahha
kungwi lang8u silipatii picha linavong'ata kucha!
uuuuwih!
hebu cacico nipatie dompo nishushie hii habari ya shosti yetu wa ukweli kutongozwa wazi wazi hivi!
BTW nimemisije hili neno kutongozwa!
ahahahahahahhahahha kweli leo ni tarehe 31/12/.

aaah! wappyyyyyyyyyyyy ning'ate vidole kisa mtongozo wa kwenye key bodi??
mm hata wa laivu tu sing'ati chezeya kungwi weye.

ila jamaa kafunguka mbaya lolest! itabidi nimfowadie hubby ajue kabisaaaaaaa kwamba natongozwaa sasa azidishe matunzo lol! asijekupikuwa na Billie
 
Last edited by a moderator:
Kweli mwaka wa zamani umeisha na umeanza mpya!..Na hivi huo mpya wanasema unaitwa 'serpent year' tutegemee watu kutema sumu za kutosha tu...Hongera Billie kwa kujilipua!
Sisi wengine ngoja tufe na tai zetu tu kama mjerumani!...
 
Last edited by a moderator:
hahahahah ticha ametishaaaa..... gfsonwin mwonee huruma mwana wa mwenzio kajikaza kisabuni ujue....kujilipua hivi hadharani si kazi ndogo!!!

huruma gania tena Ciello?? kama kuniona atanaiona tu wala asijali jamani mbona mie ni wa kaiwaida tu?? ila nikwamba ni mzuri lol...................(fagio muhimu).

lakini tayari baba Klein yupo jamani i can't hurt him aisee. he loves me and i love him and on top of that he is such an outstanding person who adores me truly. He knows the meaning of having a wife, he is so caring, and very darling to me no any other man can beat him. aiseee!! uuuh! my swt hrt hubby wherever you are love, i love you honey. am deeply mad about your love.
 
Last edited by a moderator:
Kweli mwaka wa zamani umeisha na umeanza mpya!..Na hivi huo mpya wanasema unaitwa 'serpent year' tutegemee watu kutema sumu za kutosha tu...Hongera Billie kwa kujilipua!
Sisi wengine ngoja tufe na tai zetu tu kama mjerumani!...

kwani we hujafungukiwa mpka leo pacha !!HAIIIWEZ'KANI!
kuna binti anaitwa Suprise amesema anataka mtu mwenye upendo kama wewe pacha!
sasa mi ndo nipo kwenye mazungumzo akiweka deal mezani nishakamwambia najinywea dompo utalipa nitakapowakutanisha, sawa?
 
Last edited by a moderator:
mwali hata mi nimejingashaaje!
ila nimecheka sana kusema ukweli lolz!
sasa ndo nimemwambia kabisa mamdogo Ciello ajiandae kabisa na sare mara Billie atakapokuona !tapigaje kijikaptura siku ya ufunguzi wa tamko!

khaaaaaaaa! halafu CWT inasema ina memba kweli??
 
Back
Top Bottom