Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Mwalimu ni balozi wa serikali katika kituo chake cha kazi. Ndio maana anashirikishwa katika shughuli mbali mbali za serikali.
So far ualimu ni kazi ya heshima. Ningekupeleka ukafanye kazi kwenye kikampuni cha muhindi uone unavyonyanyaswa na kutumikishwa; ndani ya miezi miwili ungeutamani ualimu na kuuona ni lulu.
 
Mwalimu ni balozi wa serikali katika kituo chake cha kazi. Ndio maana anashirikishwa katika shughuli mbali mbali za serikali.
So far ualimu ni kazi ya heshima. Ningekupeleka ukafanye kazi kwenye kikampuni cha muhindi uone unavyonyanyaswa, ndani ya miezi miwili ungeutamani ualimu na kuuona ni lulu.
Hongera mkuu
 
Hii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito
Vijana wadgo mna ndoto kubwa kwel.
 
Back
Top Bottom