Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

usipate tabu, tafuta uzi wenye heading 'maskini Sofia wangu ...'

Ni aina ya uandishi, mie victim number one, natumia nafsi ya kwanza. Sioni shida kabisa.

Unajua sis kinachomponza wifi yako ?kitu kikitokea let's say kwa dada yake anakibeba mazima Kama yeye ndio muhusika na kuja ku post humu
nilimuonya siku moja na sasa ndio haya yanayotokea
 
Mamy,hata siendi mbali sana kueleza mengi lakini nataka wewe ujichukuwe kama wewe sasa ndio mzazi na una wasichana wa4 na wameshaolewa wa3 dada mkubwa ambae ndie binti yako mkubwa hajaolewa je utakuwa na wasiwasi wa kwamba binti yako hata habari hana kuhusu mambo ya kuolewa na siku zinakimbia na unahofia iko siku binti yako atakuja kukulaumu kwa kutomhimiza kuhusu ndoa,au sio?,na hiyo ndio wasiwasi wa wazazi mara nyingi,kama ni wewe ndie mzazi utalichukulia vipi jambo la kuolewa binti yako?utamuuliza au utamuacha apoteze maisha mpaka azeeke?,samahani kama maoni yangu yana makosa.
 
nawahofia sana wenye misimamo mikali ka wa kwako...
 
We psychologist we term you as a person with relationship phobhia. Your to defensive my dear in life nothing is seems as it is. Little advice attend a counselling session unatatizo
 
ahahahaaaaa kuolewa ni fashion ................ maana huku mtaani kuna hekaheka kila wiki kama za vigodoro khaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom