Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

Maskini husninyo na hiv ulimpa ushauri kwny single dad/mom cjui kakukeraje? Ukute uliandika ushauru kwa upendooo kumbe una shauri ....hheeee eeehhh
 
Naunga mkono hoja, waichomoe.

Sred ilikuwa na mantiki hadi imekuwa khah!

Vinginevyo wadelete post tata zote.

Baada ya kufuatilia li thread karibia lote....

Nashauri walipige chini...
 
Maskini husninyo na hiv ulimpa ushauri kwny single dad/mom cjui kakukeraje? Ukute uliandika ushauru kwa upendooo kumbe una shauri ....hheeee eeehhh

hahaha!!!! mie natoa ushauri nasaha kasoro kupima tu. vipi umerudi tuendelee kudiscuss! eti wanafkr wanagombana.
 
Kweli kabisa....

Hadi thread imekosa maanda...nadhanit tuombe wakuu waichomoe!

Mkuu uko viti virefu nin? Naona herufi zimeingiliana he he. Back 2 the topic: wanawake sie tukijuana ni shida. Me maisha yote rafiki zangu ni wakaka. Mkizinguana inabaki kimya kimya. Sasa mambo gani haya hadi kutajana majina? Wakalale wajipange upya. Sasa imewaongezea nini kwa mfano?
 
Its WHETHER teacher!!!

Teacher 2, i worte the first correction point while eating groundnuts! huhuhuuu!

So, i got myself into a trap instead of running away from it!

By the way, goodnight!
 
Naunga mkono hoja, waichomoe.

Sred ilikuwa na mantiki hadi imekuwa khah!

Vinginevyo wadelete post tata zote.

Unajua sis kinachomponza wifi yako ?kitu kikitokea let's say kwa dada yake anakibeba mazima Kama yeye ndio muhusika na kuja ku post humu
nilimuonya siku moja na sasa ndio haya yanayotokea
 
Mkuu uko viti virefu nin? Naona herufi zimeingiliana he he. Back 2 the topic: wanawake sie tukijuana ni shida. Me maisha yote rafiki zangu ni wakaka. Mkizinguana inabaki kimya kimya. Sasa mambo gani haya hadi kutajana majina? Wakalale wajipange upya. Sasa imewaongezea nini kwa mfano?

Muda wenyewe huoni ulivyoenda Mrembo by Nature?

Ila sijapenda haya mambo ya kuharibu jukwaa letu la MMU...

Naamini uzi wote utapigwa chini soon!1
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom