Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

Haya mie nalala.
Anayetaka kutukana atukane tutaonana asubuhi.
Na kwa kumsaidia anicc iwe rahisi kwangu nianze na yeye kumjibu.
 
Haya mie nalala.
Anayetaka kutukana atukane tutaonana asubuhi.
Na kwa kumsaidia anicc iwe rahisi kwangu nianze na yeye kumjibu.

stelingi unalala!!!!! movie itaendelea kesho. gd 9t.
 
Kama ndio kupigana huko kwa.kike, sina hakika na jinsia yangu.

Kuvuana nguo? Uwiiiii

Ila umenichekesha, you are baddest!
ji
Tena hiyo ya fist fight ndo naipenda zaidi maana kuna kuvutana nywele (ole wako uwe umevaa wigi au umeshonea weave la bei rahisi) na kuchaniana nguo.

Napenda kuona vi-top vinachanwa ili nione nyonyoz teh teh teh.....yaani huwa nikikuta wachuchuz wameshikana mashati wala huwa siamulii...nawaacha kwanza wachaniane nguo nifaudu halafu ndo naamulia.

I know...I know....I'm bad.
 
babu huu ni uchochezi sasa, am engaged with Lara 1 already na nashukuru leo kalala mapema otherwise ungenisababishia kununiwa bure.

mimi nilisifia tu mistari yake but not otherwise mkuu.

merci olevouir.

Nimekubali yaishe ila kama unaweza kumsifia mwanamke mwingine mbele ya my wife wako...basi unahitaji kurudi class ukapigwe tena msasa wa MMU!!

Kwa heri...

Babu DC!!
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...

Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???

Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo


Yaani mi naona wewe uelewa wako kuhusu maisha ya ndoa ni mdogo sana ndo maana umeandika upuuzi huu.

Yaani sababu zote ulizoandika hapa zinatokana na upeo wako wa kufikiria jambo ambalo ni beyond ur reach and exposure.

Kaa na watu wenye akili timamu tena walio kwenye ndoa ili wakufundishe kuhusu maisha.

Si ajabu wewe ambaye unasema hutaki kuolewa ndo kitumbua chako kinatumika kiasi kwamba hakuna mdau anayekuja na idea ya ndoa kwako.

Acha kuleta assumptions za kitoto hapa.We kama hutaki kuolewa ni wewe maana ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia ila usiweke mawazo yako halafu uconclude kama sababu za kuolewa.
 
I agree with your concept concerning marriage. Marriage is not a rehasal it is perfomance. So never make a mistake in who you marry cause ukikosea ndoa umekosea maisha yako ya baadae.
 
Adui likuwa navizia nilale.
Nshaghairi sasa

hahahaha!!! mie bado kidogo nikubipu mpaka uamke! welkam back.
endelea kumwaga dozi. hawez potezea watu muda kutoa ushauri kumbe mpishi wa habari.
 
Ni Hatari Sana Jamani....Nadhani Hii Inaweza Rejesha Nidhamu Ndani Ya MMU....
 
So Rapunzel ni adui yako y? kuna kitu gani mnagombea ? I told her to stay away in this so talk to me

Majibizano yangu ni mimi na yeye.
Kama kakaa mbali nafunga mjadala nami naenda lala.
Good night
 
Last edited by a moderator:
Dunia ina mambo..kua uyaone. Katika maisha usipendelee kujiapiza sana.
 
hahahaha!!! mie bado kidogo nikubipu mpaka uamke! welkam back.
endelea kumwaga dozi. hawez potezea watu muda kutoa ushauri kumbe mpishi wa habari.

How do u feel when two people are fighting we unashabikia instead ya kuwa pleased??
 
Amu na bidada inatosha sasa. Laleni... Haina faida kujibishana. Ulishaweka wazi basi wakujifunza atajifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom