BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
BadiliTabia,wala usihangaike nao hawa,embu waulize nani ana ubavu wa ku print hii thread na kumpelekea mkewe asome? Nani Aspirin?Baba Enock?Eiyer?Tata?Fidel?Kloro?nani? Subutu yao!
hahaha hawana ubavu huo. Ujanja wao umeishia hapa.