Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

hahahaha usiniambie hawa wa tip top kesha kuachia kitu aisee!

Tayari mjamzito wewe andaa baby show na nepi tu pampers sitaki mwanangu atumie ujauzito wake unaniletea mimi kichefu chefu ndo kama hivi naumwa umwa tu Dr. Maji marefu kanambia . Mi ndo mwanaume bwana
 
Sweetlady,nimekuonesha ushahidi wa wanaume kwenye kukata kiu yenu,nasubiri uniambie tafsiri ya mahari!Halafu mbona nimetaja ngaramtoni umeng'aka au nimegusa penye upele?
Ashasema Gee kuwa mahari ni zawadi sasa unataka tafsiri ipi tena? No! mpendwa hujagusa popote, nimekutahadharisha tu manake unaeza nisababishia masuali yasiyo ya msingi kwa mwenzi wangu!
 
Kwamba Mimi ni MALI ya nani?! Hapana Babu naomba nikaidi kidogo. Hizi kauli za hivi ndizo zile zinazopelekea mwanamke akae kimya akigundua au jua kuwa mwanaume (ambaye naye ni mali yake) anacheat. Kuwa yeye ni mali ya mwanaume ila mwanaume si mali yake?
Kwanini mnabadili ubini wenu tukiwaoa? Kwanini mnapokea mahari zetu, tena mnatupangia bei kabisaaaaa!
 
Ngoja nicheki kwenye records za TRA...

Hili jambo la msingi sana inabidi sasa tuwe tunadai risiti kabisa lengo kuongeza mapato ili kuwezesha rais wetu aendelee kutalii dunia nzima

Sheria ya manunuzi Tanzania inataka kila kinachouzwa na kununuliwa kilipiwe kodi.

Kodi hamlipi kisha mnadi mmenunua....mnanshangaza!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kama ulikuwa hujawahi kuisikia zawadi ya kupangiwa ndo isikie sasa.

Utauziwa kitu bila risiti! Unanchekesha!

na TRA wanapeleka muswada bngeni, maana serkali inakosa kodi nyingi kwnye mahari. Jiandaeni kulipa 20%
 
Kwamba Mimi ni MALI ya nani?! Hapana Babu naomba nikaidi kidogo. Hizi kauli za hivi ndizo zile zinazopelekea mwanamke akae kimya akigundua au jua kuwa mwanaume (ambaye naye ni mali yake) anacheat. Kuwa yeye ni mali ya mwanaume ila mwanaume si mali yake?

Hivi katika mahusiano nani anae poswa na kulipiwa mali?
 
Sheria ya manunuzi Tanzania inataka kila kinachouzwa na kununuliwa kilipiwe kodi.

Kodi hamlipi kisha mnadi mmenunua....mnanshangaza!

Hii naiweka kwenye hansard siku ya kuoa lazima nidai risiti kwa baba mkwe haiwezekani apokee hela, blanket, majembe n.k alafu asinipe risiti hii tayari booked
 
Buraza from anoza maza ijumaa ya leo viti virefu wapi aise
maana siredi ya jana na hii ya leo yapaswa kuchakachuliwa ukiwa unapata moja moto moja baridi
Aisee kama kawa maeneo yetu ila kabla sijaenda kiti kirefu nataka nihakikishe nammiliki mtu humu ndani bado ya hapo naenda kumlipia na kodi TRA kabisa
 
Cheti cha ndoa!Au ulikua hujui?

Usijizuzuwe bwa' mkubwa! Cheti cha ndoa kinaandikwa umeuziwa? Kanisani wala serikalini hakuna ushahidi wa mabadilishano ya pesa khasaaaa, afadhali kwa Waislam kidogo.
 
Kwanini mnabadili ubini wenu tukiwaoa? Kwanini mnapokea mahari zetu, tena mnatupangia bei kabisaaaaa!

Eh umenikumbusha swali la Bigirita: Kuwa
Mwanaume akiwa hajaoa anajulikana kwa Prefix ya Mr wakati Mwanamke anakuwa Miss
Mwanaume akioa anabaki na Prefix yake ya Mr wakati Mwanamke anahamia kwenye Prefix ya Mr na kuongezea s (Mrs)
Ndoa inapovunjika mwanaume anabakia the same Mr wakati mwanamke anaipoteza r na kubakiza Ms.

So maisha ya Mwanamke always yanarevolve around Mwanaume!!

Kifupi: Sina point tena hapo
 
Tena ODM waulize,mbona wanatoka kwao wanakuja kwetu?Halafu hata wakitaka kwenda kokote lazima nitoe ruksa!Tatizo hajiongezi!!
 
Mzee mwenzangu, hii ndiyo inajibu ule uzi wa AshaDii aliouweka leo?
Naona kama vile hii ni beat ya ku-balance gender, hapo ni watu kumwaga mistari tu.............
 
Jamani mbona hamna kitufe cha ku dislike... Mi nakihamu sana l.o.l
 
Sheria ya manunuzi Tanzania inataka kila kinachouzwa na kununuliwa kilipiwe kodi.

Kodi hamlipi kisha mnadi mmenunua....mnanshangaza!
Gee nipe VAT number yako ili nikilipa ufanye confirmation kabisa...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom