Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Kamanda lakini trust me wewe bana against yako inakubalika kimataifa! yaani mimi nafurahia sana bana nikuwe against na wewe maana nikimaliza mjadala basi sku ya pili lazima mtaani watanikoma kwa mapwenti. Na nadhani watu wote hapa JF wanaku value hivyo. Kama MMU ndio TZ basi mkuu ungeshinda uchaguzi tu, hakuna slaa wala kikwete wala maalim sefu

dahhhhh, aiseee....? hapana bana,
kuna magwiji hapa,....mimi mwanafunzi tu kwao!

 

dahhhhh, aiseee....? hapana bana,
kuna magwiji hapa,....mimi mwanafunzi tu kwao!

hahaah moskwito acha utani bana!
Hili ni suala ambalo halina mjadala kabisa, atakaebisha kwamba wewe ndio gwiji wa hili jukwaa basi hakyanani akapimwe mirembe
 
A REJOINDER:
Preamble:
Katika utangulizi wako Aspirini unadai eti mwanaume ni Taasisi,my foot,apparently hata Adam katika bustani ya Eden thought so,see where he ended!
Aidha unadai kuwa mwanaume kapendelewa kuumbwa,hivi aliyelaaniwa akaambiwa kwa jasho lako utakula ni nani sio kidume Adam? na alitenda kosa gani by the way?
Tuje kwenye mada sasa pweint kwa pweint:
1.Urijali/umiliki:
Hivi wewe ukawazia kummiliki mwanamke amekuwa gari au nyumba.Is a woman a 'thing'?Hata katika lugha ya kijerumani mwanamke ni 'die' ,mwanaume ni 'der' na vitu vyote vilivyobaki ni 'das' au mwanamke unamuweka kundi la 'das'?
2.Maamuzi:Maamuzi yapi unayaongelea hapa yale yanayotolewa na kichwa cha juu ya kuamua kujenga,kufungua duka ,kununua gari?au yale unayoamua kwa kukutumia kichwa cha chini ya kuamua kulala na hausgel,kuzaa nje ya ndoa,kumjengea hawara n.k?
3.Uwajibikaji: Wangapi siku hizi wanalishwa na kuvishwa na wake zao? wanaume kibao wanatunzwa na wake zao na si kwamba hawataki kutunza kaya zao la hasha,ni circumnstances mme anajikuta ana kipato kidogo kuliko mkewe.Do you become less of a man kwa kuwa mke ana mshahara mkubwa kukuzidi? Learn to be humble.
Na hili la kudai mwanaume wa ukweli ni yule anayemridhisha mkewe kitandani,kama kigezo ni hicho basi duniani wanaume ni wa kuhesabu maana takwimu zinaonyesha ni wanawake wachache kwenye ndoa ambao huwa wanapata orgasm za kiukwelikweli.Wapo kinamama hadi wanapata vitukuu orgasm hawaijui.
4.Muda wa kukutana na wanaume wenzio: Hivi huko vijiweni la kuongea ni nini hasa kama sio kupapasa makalio ya mabaamedi? Na sio hilo tu, vijiweni huko ndo centre ya kudanganyana...oh mwanamke asikubabaishe bana akikujibu tia makofi...kumbe anayekushauri hayo akifika nyumbani kwake ni magoti chini mke wangu samahani nimechelewa kurudi.
5.Kwenda nje: Eti mradi mkeo asijue.Kumbe mnawaogopa? na kimada ukimpa mimba huo uso utauweka wapi,au ndo yale ya watoto kukutana makaburini kwenye msiba wa baba?
6. Uangalifu: tungekuwa waangalifu tungezaa nje?
'Sisi ndio wanaume bana'.......hahahahahahaa...usijisifu subiri usifiwe otherwise tutasema:
DEBE TUPU HALIACHI KUSHINDA
mwisho nasema:
Mwanamke akiwezeshwa anaweza!
Big up kinamama,yes you can!!!!!!
Yours sincerely,
Bishanga Abashaija.
Bishanga Hureeeee!

Mungu akubariki kwa kuwa mkweli kaka!
 
Loh hii attack Mbu wangu itakucost darling but ni ukweli kabisa. It is a woman ambaye anwezakukuhakikishia uanamume wako. Unaponipa starehe kwa six ninapopiga kelele unajiaminisha kuwa umeniweza?? Kwako sipindui?? Una uhakika gani kama kelele zangu ni za kweli?? Mbu amezungumzia swala la watoto, unawezapita barabarani na kujisifia kifua mbele kuwa una watot kadhaa wa kiume na kike, my son, my daugther ilhali huwezithibitisha kuwa ni wako kweli (Unless kwa msaada wa DNA)- Achilia mbali wana unawezathibitisha kwa DNA

Haya huyo mwanamke unayedai kummiliki una uhakika gani?? Unawezatimiza majukumu yote, chakula n.k wakati amani na furaha iliyopo nyumbani kwako unayojivunia nayo ni kwa msaada wa Shamba boy, family driver au jirani yako pembeni.

Eh nalog out nsijemwagiwa radhi na Babu bure.
Ubarikiwe dadangu, ukweli ndio huo na utaendelea kubaki hvyo. Hakuna wa kukumwagia radhi hapa, utanidai biya 1 ya pongezi kwa hii useful quote yako. Ahsante.
 
Tatizo la watu wanashabikia zaidi ya kutoa hoja nzito!
 
Wallaaahi siye ndie wanaumeee, wenye uumeee, ulio meaaaa, na elimu hapa ndio imekaaaa, mapenzi ndio nyumbaniiiii, twacheza taarab, kiduku, hip hop hadi slowzzz, na uanaume kujiamini 101%.

Komaaa, kama mkeo/gfriend wako hajakufumania live naked akawa anakusema una msaliti KATAAA HATA AKIWEKA KISU SHINGONI, na usiache kumsifia mkeo/demu wako kila mara na kosa kumwambia mambo ya kumdharau, ukiwa mwisho uko naye uwe kama huoni wanawake wengine.

Na ktk maamuzi uwe fair na msimamo pia mshirikishe, tafuta hela kama unaishi milele, na mkitoka out na mkeo mfurahishe, piga book kama Einstein ila usisahau mapenzi, piga job vizuri, majukumu ndio uanaume babuuu, pia @ 6x6 utundu mtindo mmoja.

Styles na utundu hauna idadi, piga hata deki, nenda kuleeeee, rudi ruka ukuta kidogooo ikibidi babuuu, nendaaaa kuleeeeee rudi hukuuuuuuuu, mguu pande mguu sawa, then tukaoge, anza huko huko bafuni libeneke ndio uanaume huo.

Blow jobs, usafi kama theluji weupe wake mapenzi yanoge, muogeshe mpake mafuta mwenzio mlaze mnyeshe uji/ juice/ mpoze mwenzi wako, mpepee, lala sasa, then wazia kazi babuuu sasa geuza mawazo kimaendeleo haraka, huo ndio uanaume na wanaume ndio sie Tall na sie ndio wanaumeeeee, thanx Asprin
 
MWANAUME siku zote, wiki zote na miezi yote ya dunia ni mali yake, ndo maana hakuna SIKU YA WANAUME DUNIAN.
hivi hujawahi kujiuliza kwa nini wanasiasa wengi ni wanaume? jiulize kisha nipe jibu ukizingatia taaluma ya siasa inahusiana na nini?why do most women stay away from politics?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom