Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Uko sahahi kabisa.....Kama nimemwelewa vizuri Babu mwenzangu, ni kuwa mwanamume hawi mwanamume ama kwa kujisemea yeye mwenyewe, kuonekana physically au kuvaa nguo za kiume...It goes beyond that.

La muhimu zaidi ni kuhakikisha (to acknowledge) kuwa mke wako ni mdau mwenye nafasi ya pili (second share holder) ambayo haiwezi kukaimiwa na mtu yeyote na kwa pamoja kuhakikisha ustawi wa kila mtu anayeishi kwenye dari la nyumba yenu!! Ndiyo maana binafsi napenda katika kila kitu tuchukulie kuwa tumefanya kwa pamoja na siyo kufanywa/kufanyiwa hata kama ukweli wake unaweza kuwa tofauti!!

Babu DC!!
Mkuu DC kama hiyo ndo attitude yako kuhusu mahusiano na mwenza wako sasa kwa nini hapo kurasa za nyuma umeshadadia thread ya Aspirin,is it not a contradiction?By the way unaweza ku print hii thread plus your earlier comments ukampelekea mama DC?
 
Odm is still nursing hangover. Si unajua mwanaume hatakiwi kuwahi nyumbani! Wanajishangaa wanakufa haraka wanatuacha tunakula maisha! Simba mwenda pole hufaidi aisee!
Thx my Big shem,
Hope babu yuko poa ni mambo ya wik end,
Naona babu hapa katoa ufagio wa ukweli kwa WANAUME lol!
 
Huo ndio ukweli ingawa ila kuna watu hawataki kuelewa ingawa si lazima kuukubali....Binafsi huwa nawashangaa wadada wasomi ambao wanahangaika kubadili majina yao hata kabla honey moon haijaisha!!

Mkuu mwanaume wa kweli hawezi kuwa na mawazo ya namna hiyo......Ukiona yuko hivyo basi jua kapoteza sifa zote tunazojua na kuzikubali za mtu anayeitwa mwanaume...Majina ya watu wa namna hiyo yapo mengi tu!!

Tatizo letu siku hizi tunahoji na kuchambua mambo ambayo enzi zetu tulilelewa kuyaamini na kuyashika kama ile kanuni ya imani ya Wakristo!!

Kati ya yote aliyosema Asprin, sijaona hata moja ambalo ni kinyume na yale ambayo tumefundishwa (wale wa enzi zangu), kuyaona katika makuzi na malezi yetu na kuyafahamu pasipo kukariri kwamba ndiyo sifa za mwanamume wa kweli...Hata kama kuna chumvi za hapa na pale, sijaona mahali ambapo kaenda nje ya ukweli!!

Ni facts mwanzo hadi mwisho....!!

Babu DC!!
Tafadhali Mkuu DC,hivi kiukweli kabisa kabisa Mama DC anajua kwamba hizi ndo fikra zako kuhusu 'uanaume'? .....'its fine to f...ck around so long as you are using a condom?(source Aspirin).
 
Wallaaahi siye ndie wanaumeee, wenye uumeee, ulio meaaaa, na elimu hapa ndio imekaaaa, mapenzi ndio nyumbaniiiii, twacheza taarab, kiduku, hip hop hadi slowzzz, na uanaume kujiamini 101%.

Komaaa, kama mkeo/gfriend wako hajakufumania live naked akawa anakusema una msaliti KATAAA HATA AKIWEKA KISU SHINGONI, na usiache kumsifia mkeo/demu wako kila mara na kosa kumwambia mambo ya kumdharau, ukiwa mwisho uko naye uwe kama huoni wanawake wengine.

Na ktk maamuzi uwe fair na msimamo pia mshirikishe, tafuta hela kama unaishi milele, na mkitoka out na mkeo mfurahishe, piga book kama Einstein ila usisahau mapenzi, piga job vizuri, majukumu ndio uanaume babuuu, pia @ 6x6 utundu mtindo mmoja.

Styles na utundu hauna idadi, piga hata deki, nenda kuleeeee, rudi ruka ukuta kidogooo ikibidi babuuu, nendaaaa kuleeeeee rudi hukuuuuuuuu, mguu pande mguu sawa, then tukaoge, anza huko huko bafuni libeneke ndio uanaume huo.

Blow jobs, usafi kama theluji weupe wake mapenzi yanoge, muogeshe mpake mafuta mwenzio mlaze mnyeshe uji/ juice/ mpoze mwenzi wako, mpepee, lala sasa, then wazia kazi babuuu sasa geuza mawazo kimaendeleo haraka, huo ndio uanaume na wanaume ndio sie Tall na sie ndio wanaumeeeee, thanx Asprin
El President,kwenye red hapo,vipi hajambo David Cameron?
 
hivi aliyeandaa hii Thesis professor Aspirin yuko wapi? kaupwaka? au ndo yale ya kukaanga mbuyu ukawaachia wengie wale?
na log off (source:washawasha)
 
Mkuu DC kama hiyo ndo attitude yako kuhusu mahusiano na mwenza wako sasa kwa nini hapo kurasa za nyuma umeshadadia thread ya Aspirin,is it not a contradiction?By the way unaweza ku print hii thread plus your earlier comments ukampelekea mama DC?

Bishanga,

Don't take issues personally,

Katika hii dunia, you are first a man (human) whether white, red, black etc, then yourself.....Kwa hiyo mimi nimeyaangalia maandiko kwa msingi wa kwanza....Ila kama unataka kujua kama mimi DC nikoje, that's another facet...Tunaweza kujadili hilo siku nyingine.

Kwa hoja ya kwanza...ambayo mama DC anaijua vizuri....Hii thread si tu kwamba naweza kumpritia bali pia naweza kumsomea na tukajadiliana face to face bila kusababisha damage kwake au kwangu. Kama wewe unaukimbia ukweli basi pole sana Bro!

Tafadhali Mkuu DC,hivi kiukweli kabisa kabisa Mama DC anajua kwamba hizi ndo fikra zako kuhusu 'uanaume'? .....'its fine to f...ck around so long as you are using a condom?(source Aspirin).

Hebu soma vizuri tena katikati ya mistari.....

Kwa sababu kwangu mimi haijatokea, ila sina uhakika wa 100% kwamba katika maisaha yangu haitatokea, basi ikitokea nitatumia hiyo tahadhari anayoitoa mzee mwenzagu (tena mwanamume wa kweli) ambayo ni very valid!!

5. Inapotokea kwa namna yoyote na kwa sababu yoyote ile necha ikashika kasi ukajikuta unaenda nje ya MWANAMKE WAKO, hakikisha unaenda kwa uangalifu. MWANAMKE WAKO asijue! Kosa kubwa sana akijua, na hii si sifa ya mwanaume. Huo ni uvulana. Na huko ufanye kwa UANGALIFU. Usijemletea maradhi MWANAMKE wako.

..
 
Bishanga,

Don't take issues personally,

Katika hii dunia, you are first a man (human) whether white, red, black etc, then yourself.....Kwa hiyo mimi nimeyaangalia maandiko kwa msingi wa kwanza....Ila kama unataka kujua kama mimi DC nikoje, that's another facet...Tunaweza kujadili hilo siku nyingine.

Kwa hoja ya kwanza...ambayo mama DC anaijua vizuri....Hii thread si tu kwamba naweza kumpritia bali pia naweza kumsomea na tukajadiliana face to face bila kusababisha damage kwake au kwangu. Kama wewe unaukimbia ukweli basi pole sana Bro!

Hebu soma vizuri tena katikati ya mistari.....

Kwa sababu kwangu mimi haijatokea, ila sina uhakika wa 100% kwamba katika maisaha yangu haitatokea, basi ikitokea nitatumia hiyo tahadhari anayoitoa mzee mwenzagu (tena mwanamume wa kweli) ambayo ni very valid!!
sawa Mkuu,weekend njema.
 
And here is MY TOP 10 REASONS ON WHY IT IS BETTER TO BE A MAN THAN A WOMAN.

1. Jesus and Mohammad (SAW) were all Men, That's called dogma - man-dogma

2. When we're done, you're done (doesn't matter 5 minutes, 30minutes or 1 hour, it's over when the man finishes!!

3. Men Do Not Get Pregnant, you know the advantage of this one.....

4. Men Do Not Wear Make-up (usually) This is another great advantage! It saves us abundant amount of time to pretty ourselves up to prepare us for the world's viewing.

5. Men Pee Standing Up (usually)..This is a great thing if you really think about it.

6. Women are racists...Women's entire lives and social circles are based around hatred. Do they hate their boyfriends?
Do they hate their wardrobe? Do they hate each other? Yes, yes and definitely. Men don't go in for that silly sort of nonsense.

7. The great leaders, Thinkers, scientists and inventors are all men. Nyerere, Einstein, Newton, Ford, Franklin et al.

8. Minimal Emotions, Men have two emotions: joy and anger. and can handle emotions better than Women.

9. Women make less money...Carlos Slim Helu, Bill Gate and Warren Buffet are all MEN 10. Women speak so much....... Hahahahahaha,

NAWASILISHA!!!
 
NAWASILISHA!!!!
Du,i am flabergasted,sina la kusema Mkuu!
Nothing personal but i just hope no female relative of yours will ever know that this came from you!
 
3. MWAJIBIKAJI: Ni wajibu wako kuhakikisha

- Mwanamke UNAYEMMILIKI anatosheka na na kuridhika na huduma zako.
- Bioloji yake ipate habari yake sawa sawa,

tumbo lake lipate chakula cha kutosha, mwili wake upate mavazi na miguu viatu. Mkipata watoto na mwanamke wako ni wajibu wako kuhakikisha wanapata mahitaji yote wanayostahili. Kama huna uwezo kwanini uzae kama kuku? Kulaaaleki!

....mnh....! balaaaaaa!....hiii tafakuru inahitaji uchambuzi yakinifu...
easily said than done!....aliye mwanaume kweli na anajiaminisha na haya anyanyue mkono juu hapa....!...
 
Hunny nimejikuta njia panda na naogopa kupiogwa mawe bure humu
maana misimamo mingine si ya kusimamia kabisa
Sijambo hunny 😛oa

lol....hahahaha....kaka tangu jana nakusoma unadonyoa donyoa tu...ingia mazima aisee!
hahaha...tupa mawe!
 
lol....hahahaha....kaka tangu jana nakusoma unadonyoa donyoa tu...ingia mazima aisee!
hahaha...tupa mawe!

Mkuu ukisoma thread ya Bishanga nilitoa msimamo wangu mkuu wa jumla
Sasa nikiingia humu na msimamo wa kule kwa akina Bishanga watanipiga mawe aise
Bora tuu nichungulie na kuondoka na ndo maana nasisitiza akili zako changanya na za kuambiwa mkuu
 
mapnga sssshhssshaaaaaa sssssshhhhshaaaaaaa

Data,nani sasa anampiga mwenzie mapanga shaa? Mto mada mwenyewe Aspirin kajifungia chooni toka jana mchana,sasa sijui alikuwa na maana gani kufungua uzi huu,mie nahisi Mama Matasha alimbamba nao na baada ya kibano akadai Bishanga aliiba password yake,mianaume bana,ndivyo tulivyo!
 
Unajua wakati mwingine hata House girl hutamani kuwa mama mwenye nyumba,lakini ni vigumu,yeye atabaki HG na hakuna kitakachobadili huo ukweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom