Mbona mnakua kama hamjui kusoma, amekana kukutana na Ben na wala hakufika kwenye hicho kikao na wala haijui hiyo hotel. Amekana nini kingine?Ndio amekana sasa. Au unabishana na zitto.
Sibishani na mtu asiyejua maana ya heading. Heading ndiyo inamaliza yale yoote yanayofuata baada yake. Na heading ya hii thread imeshasema kwamba huo ni uwongo. Wewe unataka kulazimisha nini sasa.Mbona mnakua kama hamjui kusoma, amekana kukutana na Ben na wala hakufika kwenye hicho kikao na wala haijui hiyo hotel. Amekana nini kingine?
Hizo tuhuma zilianzia humu kabla ya kufika huko kwenye magazeti. So na majibu yake si vibaya yakafuata mtiririko ule ule. BTW, JF ni free forum ambayo mtu yeyote anaweza kuposti kitu chochote ili mradi asivunje sheria, kanuni na taratibu za forum.
Yakikufika huna jinsi.Ila aisee binadamu ni kiumbe wa ajabu sana tena hatabiriki kwasababu yuko at cross roads and is expected to change at any time.
Jamani huyo ndio Zitto . Huyu ni miongoni mwa viongozi wa kuigwa duniani.Anaonekana ni kijana mkweli, mwaminifu asieuma maneno na anaejitahidi kuepuka fitna unafiki na siasa za kitoto.Nawasihi viongozi wote wa nchi hii waige mfano wake kwa kutolea ufafanuzi mambo yanayohitaji ufafanuzi kwa uwazi na mapema kama anavyofanya huyu ndugu yetu.Mungu ambariki Zitto.
Kwani alikuwepo wakati hizo mbinu zinapangwa, wewe vipi? Hii siri imetolewa na walio mkamata muuaji, hakuweza kutekeleza maagizo yake kwahiyo alie lengwa atajua vipi?
Huyo Mtikila naye hajakoma alivyopopolewa mawe kule tarime kwa ajili ya upuuzi wake huo huo. Damu chapa chapa.Na kuna thread ya kuhusu CCM kumuandalia tamko kiongozi mmoja wa upinzani ili kukipaka matope CHADEMA, jana imewekwa humu ndani Press Release ya MTIKILA yani ni balaaa, ilikuwa ikihusu kifo cha Wangwe.Mods naona wameifutilia mbali ile press release.
Kwa hii kauli Muheshimiwa Zitto umeifanya Pasaka yangu kua njema!Ndio maana hata siku moja silalamiki kuhusu vitisho vya kuuwawa nk. Kama kuna mtu anafikiria kuwa kumuua Zitto ndio furaha ya maisha yake atakuwa anajidanganya tu maana Zitto anaweza kufa kimwili lakini mawazo, fikra na maono ya Zitto yataishi tu. Siogopi kufa maana maisha niliyoyachagua ndio haya ambayo yamejaa vitisho. Muhimu kwangu ni kufanya kazi zangu kwa bidii, uhodari na uaminifu. Siku zote nitasimamia ukweli bila kujali uchungu wa ukweli huo.
Matendo ya mtu mmoja yasigeuzwe propaganda ya taasisi.
Ben saanane na slaa huwa mnafanya unyama kwa manufaa ya nani???
Chadema?
Josephine?
Urais?
Hiyo ni mada nyingine. Ifungulie thread yake na tutakuja huko kuijadili. Thread hii inahusu kanusho la zitto kuhusu mipango ya kutaka kuuawa kwa sumu.Zitto karudia tena Hajawahi kukutana na Ben so Ben ajitokeze athibitishe kuwa Zitto ni muongo walishawahi kukutana kupanga mikakati ya kuvuruga chama!