Umeisoma heading. Inawezekana naongea na mtu ambaye hajui maana ya heading.soma post mara tatu,kunasehemu zitto kakana kunpewa sumu?
Acha kupindisha mambo wewe..zitto anasema "vitendo vya mtu mmoja visigeuzwe propaganda kwa taasisi nzima"
Kwani alikuwepo wakati hizo mbinu zinapangwa, wewe vipi? Hii siri imetolewa na walio mkamata muuaji, hakuweza kutekeleza maagizo yake kwahiyo alie lengwa atajua vipi?Na nyie mliokuwa mnadai Dr. Slaa alitaka kumuua zitto. Na kwamba Ben Saanane ndio alikamatwa na hiyo sumu pale lunch time hotel, habari hizo mlizipata wapi? Mwenyewe mbona anakana.
SAFI SANA KIONGOZI umeonesha ukomav wa siasa nakpongeza sana kuwaonya hao wenye njaa kali waliohama CHADEMA na k=
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.
Hizo tuhuma zilianzia humu kabla ya kufika huko kwenye magazeti. So na majibu yake si vibaya yakafuata mtiririko ule ule. BTW, JF ni free forum ambayo mtu yeyote anaweza kuposti kitu chochote ili mradi asivunje sheria, kanuni na taratibu za forum.Zitto kama gazeti limeandika uzushi kuna hatua za kuchukua sio kuleta hapa Jamvini!
Ndio amekana sasa. Au unabishana na zitto.Kwani alikuwepo wakati hizo mbinu zinapangwa, wewe vipi? Hii siri imetolewa na walio mkamata muuaji, hakuweza kutekeleza maagizo yake kwahiyo alie lengwa atajua vipi?
Na wewe usitumie thread hii kuchochea fitina zako.Waache wenyewe wajenge chama chao.Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben
Kila mara Mh. Zitto anapotoa Press Release, badala ya kujibu tu swala lililoko mezani, anakuja na mjadala mwingine.
Kwangu mimi, nimedonoa hii sentensi ambayo ni fupi lakini ina ujumbe mzito sana.
Ningependa kufahamu huyu MMOJA anayemwongelea katika matendo yake ambayo jamii isiyaone ndiyo matendo ya chama.
Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben
Umegusa pale pale.Hilo ndilo chama cha magaidi wanaumia Kuona Zitto aakubalika sehemu zote.
Ben saanane weka mbali na sumu
Kwani alikuwepo wakati hizo mbinu zinapangwa, wewe vipi? Hii siri imetolewa na walio mkamata muuaji, hakuweza kutekeleza maagizo yake kwahiyo alie lengwa atajua vipi?