Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Acha kupapatika, Nimesema Ben ajitokeze kuzungumzioa hilo sijakwambia naanzisha mada tena sio lazima Ben ajitokeze humu. Uongo una Expire Date lakini ukweli hauharibiki milelel! Nyakati za kuumbuka akina Ben zinakaribia maana ukweli utatokea Mlango wa dharura bila ya kutegemea. Kumbe kweli Ben hajawahi kukutana na Ben daah. Pole Zitto
Hebu jibu swali hili kwanza kabla hatujaendelea:
Je kulikuwa na mpango wa Dr. Slaa kumuua zitto kwa sumu kupitia ben saanane?
 
Ben Saanane usiandike chochote hapa kwa ID yako hii kuna kitu kinatafutwa ili waunganishe dot then wapate habari nyingine!
 
Last edited by a moderator:
tunakoelekea magazeti yataachwa kusomwa,siku hizi wanaandika habari za umbea umbea tu..
 
Zitto anaonekana kumuogopa sana ben sanane au anakwepa kukiingiza chama kwenye matatizo.

Zitto hataki kupelekeshwa na habari ya propaganda iliyotengenezwa na ccm kwa nia ya kugawanya viongozi wa chadema that's all.
Inshort Zitto amekwepa zengwe la ccm.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
soma post mara tatu,kunasehemu zitto kakana kunpewa sumu?
Acha kupindisha mambo wewe..zitto anasema "vitendo vya mtu mmoja visigeuzwe propaganda kwa taasisi nzima"
zito amekana kukutana na ben,ila hajakana kama lilikuwepo,jaribu la kumpa sumu.amesema tu haamini kama dr anaweza kupanga kumdhuru,kisha inafata maelezo ya kuwa kila mtu atakufa,hata kama mtu akimuua yeye fikra zake zitabaki,etc.

Hapa yawezekana mwandishi wa mtanzania hajamnukuu vizuri julian,ama zito amesema kweli hajakutana na ben ila haliondoi uwezekano wa kuwepo na hizo njama za kupeana sumu.
Yatakiwa hawa kina julian,ben wanyooshe maelezo.
 
Kwa wale wenye akili finyu, hawataielewa hii statement ya mh. Zitto. Watabaki kushabikie kwa upofu wa maino yao.

It's powerful statement ambayo ameielekeza kwa wanaCHADEMA na viongozi wake

Wabaya wake hawatakuwa happy at all kwa hii statement.

Statement inaonyesha kuna migawanyiko ndani ya CHADEMA na kwa maana hiyo, kama wanataka CHADEMA ikabidhiwe nche, hiyo migawanyiko lazima imalizike.

Nani wa kuimaliza iwapo hata 'First Lady' naye ameishayavulia maji nguo na kilichobakia ni kuyaoga?.
 
Zitto hataki kupelekeshwa na habari ya propaganda iliyotengenezwa na ccm kwa nia ya kugawanya viongozi wa chadema that's all.
Inshort Zitto amekwepa zengwe la ccm.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Propaganda za ccm wakati ni Ben ndio alileta tuhuma humu JF juu ya Zitto kuwa kiongozi wa wasalia?
 
Mheshimiwa Zitto,

Naomba ufafanuzi wa hayo maneo yako hapo juu.
Isome habari yote utapata mtiririko mzuri na utaelewa. Usikate vipande vipande. Ndio maana hata kwenye kusoma Biblia kila mtu huwa anaelewa kivyake sababu ya kukata kata mistari kwa mtindo huo wako.
 
Ben Saanane usiandike chochote hapa kwa ID yako hii kuna kitu kinatafutwa ili waunganishe dot then wapate habari nyingine!

Kwani ana IDs ngapi?. Hebu tupashe vizuri. Waswahili wa pwani tena hujuana kwa vilemba
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnakua kama hamjui kusoma, amekana kukutana na Ben na wala hakufika kwenye hicho kikao na wala haijui hiyo hotel. Amekana nini kingine?

Kasome tena gazeti,limemnukuu Juliana akisema alikuawa na ZZK kwenye hiyo bar,
 
Mheshimiwa Zitto,

Naomba ufafanuzi wa hayo maneo yako hapo juu.

Mbona mnataka kukuza hili? Kwa mfano rahisi iwe bwana Lwakatare ana hatia ktk hizo tuhuma au hana hatia bado si sahihi kuzungumzia tukio hilo kama Lengo la kitaasisi!

Dawa ya mtuhumiwa yeyote ni kumpeleka mahakamani tu ndio maana hata Polisi wamesisitiza hii issue si ya chama cha siasa lakini hapa lengo kuu la CCM si Lwakatare ni Chadema ndio maana hawamzungumzii Lwakatare zaidi ya Chadema!
 
Kuna kauli moja ya kifalsafa inasema hivi; ''wapo wale wawazao mema kuanzia nafsini mwao hadi kwenye jamii yao, hawa huitwa wenye hekima ila kuna wale wawazao njama, visa,chuki, machafuko na hata vita,hawa tunawaita washenzi''. Mh. ZZK umeonesha nia ya dhati kuanzia nafsini mwako kwamba we si mtu wa kuyumbishwa na political assassination propaganda tunakuombea uendelee na moto huo ili maadui tuwaone kama rafiki japo tunaijua tahadhari ya unafki wao. Big up.
 
Back
Top Bottom